Nancy Pelosi aondoka Taiwan

Nancy Pelosi aondoka Taiwan

Kamanda wa jeshi la marekani anaitwa Bellagia aliwai kusema kwenye speech

“We’ve seen war. We don’t want war, but if you want a war with the United States of America, there is one thing I can promise you, so help me God: someone else will raise your sons and daughters.”

china na jeshi lake lote hii kauli imewatisha ya kwamba wakijaribu vita na USA watambue kabisa ni lazima wote watakufa tu vitani na waandae watu baki wa kuwalelea watoto wao waliowazaa kabla hawajaanzisha vita na USA
 
Biti zote zile kweli bibi ameondoka salama,kweli mwenye nguvu mpishe.

Naona wengi wanashabikia China kwa mapenzi pasipo facts za Kihistoria, Hii si mara ya kwanza kutokea kati ya tension ya hizo nchi mbili na China ikagwaya au ikaminya mbele ya Marekani.

1.Tukio katika kisiwa cha Hainan April 1, 2001: Ndege ya upelelezi (UJASUSI) ya Marekani: Navy EP-3 ARIES II, ilingia ndani ya anga la China, na China ikarusha ndege zake mbili kuikabili J-811, mojawapo ya ndege hizo za Mchina zikaigonga ndege hiyo ya kijasusi angani, na kuilazimu ndege hiyo ifanye emergence landing China, Kapteni Shane Osborn na majasusi wenzake waliweza kuziharibu Data na mifumo ya kipelelezi kabla hawajatoka ndani ya Ndege. Walitekwa siku kama kumi tu , wengi wakati huo tulitegemea wataozea jela China, na China iliruhusu dege hilo la Kijasusi liondoke China, sio kwa kupaa, bali libebwe, Marekani ilikodi dege la Antonov toka Urusi, na ndege hiyo ikarudishwa US.
Kumbuka katika tukio hilo China ilimpoteza Pilot wake wa J-8II.

Washabiki wa China waliumia sana, China ilikuwa na kila sababu ya kuja juu, China inadai Marekani iliomba msamaha, lakini Marekani inasema mpka leo haikuomba msamaha. Tuliokuwa tukifuatilia tukio hilo wengi tulisema Marekani kapatikana, ikawa kinyume kabisa! Na hata Wananchi wa China hawakupendezwa. hatujui behind the scene Marekani ilimpa nini China, toka wakati huo msimamo wangu ni kuwa China inaweza kupiga lelele, lakini inapokuja kuweka kelele zao kwenye matendo inakuwa ngumu. Nikikumbuka tukio hilo niliona wazi Pelosi ataingia Taiwan na kutoka pasipo China kufanya chochote militarly.

2.Tukio katika Bahari ya Kusini China...nitaleta wakati mwingine.
 
Yani spika ndo alete mtafaruku wote huo, Kuna watu kweli walidhani kunaweza tokea Chochote kweli?.
 
Tuliosema Pelosi atatua Taiwan na kuondoka salama tuliambiwa tunaota.
 
Lusungo: Ni ushabiki tu, ni sababu ipi hasa ya kumzuia Pelosi kuingia Taiwan? Na unategemea kweli wangeanzisha Vita na US kwa hilo? Kuna maeneo mengi China inadai ni yake,kama bahari ya China kusini, Kila leo Marekani inapitisha Aircraft carriers zake mahali hapo, na kuna kipindi nadhani F 15C ilipata ajali na kutumbukia baharini, Marekani iliitoa baharini huku China ikiangalia tu, hivyo ubavu wa kuanzisha Vita na US huwa wa mdomoni tu practically huwa wanajua kugombana na US kuna maana gani. Iko siku huko mbeleni labda, lakini sio leo, sasa hivi ni wao kujijenga Kiuchumi, ndio unaweza kuanza hizo adventures za kijeshi, Marekani kapita huko siku nyingi.
 
Watoto wa mama wanakuaga na matumaini ya kijinga. Wengi walitarajia response ya moto toka China.
 
Aisee hili neno DON'T PLAY WITH FIRE sitalitumia tena kwenye slogans zangu bagoshaa... Nitakuwa nikitumia DARE IT THEN YOU SHALL SEE au GUSA NINUKE
China kawaaibisha team Putin wa kwa mpalange hahahaha
 
Hahahahaha ndo anaonesha fire sasa baada ya Pelosi kuondoka. Wavaa kobazi wana matumaini ya hovyo sana.
 
Marekani angekubali ule mkwara angedharaurika duniani kote na kujishushia heshima YAKE.
Sielewi kwa nini waliutoa huo mkwara, walipoutoa tu, wengi tunafutilizia siasa za Marekani tulijua wataenda,ingekuwa ni terrible blow kwenye mid term election.
 
China ni cha mtoto ingawa warusi wa kwa Mpalange hawakubali.
 
Back
Top Bottom