Nancy Pelosi aondoka Taiwan

Nancy Pelosi aondoka Taiwan

Sio kwamba watu walitabiri. Ni wachina wenyewe walisema kuwa hiyo safari ingeleta shida kwa america .
Unless uniambie kuwa wachina ni watu wa kuropoka.
Ninachomaanisha ni kuwa ule ulikuwa ni mtego kwa china, nchi kubwa Kama ile ambayo inataka kupaa zaidi kiuchumi haiwezi kufanya kile ambacho humu ndani wengi walichokuwa wanafikiri, lengo la USA hivi sasa ni kumcontain mchina tu, wao china ndiyo watajua namna ya kumjibu marekani aidha kwa uwazi au kificho...
 
Oyaaa kumekucha tayar china anapeleka moto vibaya mnoo mashariki mwa Taiwan
 
Back
Top Bottom