madmankache
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 836
- 589
Yes you are right. I think train yake haikuhitaji veil at all ( kwa jinsi tu gauni lilivyo). Kibandiko kimefika mahali pake, and I trust her taste in fashion lolUmeona eh!, that was smart of her.
Ka modify tu kidogo and...bingo!
This is classic!
Halafu I love pia the kibandiko. Hiyo train yake she definitely didn't need a veil. So kibandiko was jus perfect. What do you think?!
mkuu ulihudhuria kwny weddng?Sijamuona hata Dada yake Nakaaya Sumari...Hivi bifu lao bado halijaishaga ehh..
Yes you are right. I think train yake haikuhitaji veil at all ( kwa jinsi tu gauni lilivyo). Kibandiko kimefika mahali pale, and I trust her taste in fashion lol
Halafu she rocked her natural hair, that's what we call "beauty with confidence". I admire her confidence kwa kweli
Hehehhee sitaki kucheka mimi. She has guts kwa kweli, pamoja na flavy afu still mtu anapendeza hivyo doohMwenzangu!, I noticed the short hair, and forgot to point it out to you.
Imagine that, kabsa short hair at your own wedding?!, The girl got guts, no kidding.
"Beauty with confidence" Indeed!
Wakina mwanafulani basi, unaombwa tu kusimamia harusi, wala si yako hata, unaagiza "nywele" kutoka NY..lol!
Unashangaa roho ngumu kwa Mmeru chaaa... kawaida yao.Kapendeza sana na hongera ila Nancy inaonyesha ana mind marafiki kuliko ndugu sijawahi ona mmeru huyu ana roho ngumu aisee.
Hehehhee sitaki kucheka mimi. She has guts kwa kweli, pamoja na flavy afu still mtu anapendeza hivyo dooh
Umenikumbusha kuna mdada alileta story yake humu. Aliombwa awe matron harusi ya family friend . Bi harusi alikuwa wa mikoani kwetu and they never knew each other hadi siku ya harusi. Matron huyo hadi kwa Eve collection kudesign jigauni and it seems like she was more beautiful than bi harusi, mbona matron alinuniwa na bi harusi lol. (Me matron ntamchagua mwenyewe mwenzangu akhaaaa)
Ni Ngarasero Lodge iko USA riverNi wapi hapo walipopiga hizo picha?
Twende ndio hom uko.Mmmh jamani wamependeza+ mazingira mwaaaah. Yani hadi nimetamani lol[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85]
Kumbe bado.. ngoja nijikakamue ila sitatoa masongi kama MB Paka...!Hehehhee sitaki kucheka mimi. She has guts kwa kweli, pamoja na flavy afu still mtu anapendeza hivyo dooh
Umenikumbusha kuna mdada alileta story yake humu. Aliombwa awe matron harusi ya family friend . Bi harusi alikuwa wa mikoani kwetu and they never knew each other hadi siku ya harusi, na bi harusi nafikiri gauni lake alitoka nalo huko kwao. Matron huyo hadi kwa Eve collection kudesign jigauni and it seems like she was more beautiful than bi harusi, mbona matron alinuniwa na bi harusi siku yenyewe lol. (Me matron ntamchagua mwenyewe mwenzangu, sherehe yako ila kila mtu macho kwa matron akhaaaa)
Hahaha fanya kunitungia na jisong banaKumbe bado.. ngoja nijikakamue ila sitatoa masongi kama MB Paka...!
Weee nakuja jamani awwTwende ndio hom uko.