Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Umeona eh!, that was smart of her.
Ka modify tu kidogo and...bingo!

This is classic!
Halafu I love pia the kibandiko. Hiyo train yake she definitely didn't need a veil. So kibandiko was jus perfect. What do you think?!
Yes you are right. I think train yake haikuhitaji veil at all ( kwa jinsi tu gauni lilivyo). Kibandiko kimefika mahali pake, and I trust her taste in fashion lol

Halafu she rocked her natural hair, that's what we call "beauty with confidence". I admire her confidence kwa kweli
 
Yes you are right. I think train yake haikuhitaji veil at all ( kwa jinsi tu gauni lilivyo). Kibandiko kimefika mahali pale, and I trust her taste in fashion lol

Halafu she rocked her natural hair, that's what we call "beauty with confidence". I admire her confidence kwa kweli

Mwenzangu!, I noticed the short hair, and forgot to point it out to you.
Imagine that, short hair on her wedding day?!, The girl got guts, no kidding.
"Beauty with confidence" Yap!

Wakina mwanafulani basi, unaombwa tu kusimamia harusi, wala si yako hata, unaagiza "nywele" kutoka NY..lol!
 
Mwenzangu!, I noticed the short hair, and forgot to point it out to you.
Imagine that, kabsa short hair at your own wedding?!, The girl got guts, no kidding.
"Beauty with confidence" Indeed!

Wakina mwanafulani basi, unaombwa tu kusimamia harusi, wala si yako hata, unaagiza "nywele" kutoka NY..lol!
Hehehhee sitaki kucheka mimi. She has guts kwa kweli, pamoja na flavy afu still mtu anapendeza hivyo dooh

Umenikumbusha kuna mdada alileta story yake humu. Aliombwa awe matron harusi ya family friend . Bi harusi alikuwa wa mikoani kwetu and they never knew each other hadi siku ya harusi, na bi harusi nafikiri gauni lake alitoka nalo huko kwao. Matron huyo hadi kwa Eve collection kudesign jigauni and it seems like she was more beautiful than bi harusi, mbona matron alinuniwa na bi harusi siku yenyewe lol. (Me matron ntamchagua mwenyewe mwenzangu, sherehe yako ila kila mtu macho kwa matron akhaaaa)
 
Hehehhee sitaki kucheka mimi. She has guts kwa kweli, pamoja na flavy afu still mtu anapendeza hivyo dooh

Umenikumbusha kuna mdada alileta story yake humu. Aliombwa awe matron harusi ya family friend . Bi harusi alikuwa wa mikoani kwetu and they never knew each other hadi siku ya harusi. Matron huyo hadi kwa Eve collection kudesign jigauni and it seems like she was more beautiful than bi harusi, mbona matron alinuniwa na bi harusi lol. (Me matron ntamchagua mwenyewe mwenzangu akhaaaa)

Hehehe!, bi harusi akanuna akaona hii sasa imekuwa Shughuli, matron kupambika zaidi.

Lakini ni muhimu ku vet hata wasimamizi.
Niliona ma bi harusi wanafanya hivi, halafu wana suggest mpaka nguo ya mtu, sikujua kwa nini now I know.
Lakini I agree, kama harusi ni yako I believe you have all rights to do it the way, you, want it done.
It's one and only, special and most important day of your life. So gaal!, hell yea!, I believe you can do whatever you wish.
 
Hehehhee sitaki kucheka mimi. She has guts kwa kweli, pamoja na flavy afu still mtu anapendeza hivyo dooh

Umenikumbusha kuna mdada alileta story yake humu. Aliombwa awe matron harusi ya family friend . Bi harusi alikuwa wa mikoani kwetu and they never knew each other hadi siku ya harusi, na bi harusi nafikiri gauni lake alitoka nalo huko kwao. Matron huyo hadi kwa Eve collection kudesign jigauni and it seems like she was more beautiful than bi harusi, mbona matron alinuniwa na bi harusi siku yenyewe lol. (Me matron ntamchagua mwenyewe mwenzangu, sherehe yako ila kila mtu macho kwa matron akhaaaa)
Kumbe bado.. ngoja nijikakamue ila sitatoa masongi kama MB Paka...!
 
Tatizo huyu mwanamke ana tamaa sana ya ngawira I dont think she can make a good home. Huyo muoaji kama ana chapaa za kutosha akae mkao wa kupigwa na kama hana akae mkao wa kusalitiwa any time akija mwenye nazo. Ni mtizamo wangu
 
Back
Top Bottom