Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mkuundiyo style yangu mheshimiwa na ni haki yangu kuanzisha thread hapa jf lakini na wewe kuwa muungwana nimekupa ushauri,niweke kwenye ignore list ili usipate shida na kero ya kusoma umbeya ulioko shallow
Hebu nielekeze vizuri
Huo umbeya hata sijauelewa
Nielekeze vizuri mkuu yangu
Warumi hujaribu kuelekeza vizuri
Usimchukie huyo alyekua anakusema
Tuko pamoja mkuu na kiongozi wangu