Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Swali ni jepesi tuSasa kipimo Ni Nini....???na hapa sio YouTube tu mpaka platform nyingine
Kwan we unaishi angan Mzee , husikii hata kwenye vibanda vya kuchoma nyimbo , hata kwenye Tecno ndogo T347 , wanazengo wamejaza nyimbo gani kwenye memory card...?? Wimbo mzur unatambaa Tu kitaa , na ukitambaa kitaa ujue YouTube imechafuka , ad it's vise t is true....Swali ni jepesi tu
Wangapi hawana smartphone?
Utajuaje kama anaupenda wimbo?
Kama hicho ni kitaa cha kwenu sawaKwan we unaishi angan Mzee , husikii hata kwenye vibanda vya kuchoma nyimbo , hata kwenye Tecno ndogo T347 , wanazengo wamejaza nyimbo gani kwenye memory card...?? Wimbo mzur unatambaa Tu kitaa , na ukitambaa kitaa ujue YouTube imechafuka , ad it's vise t is true....
Wimbo wa Nandy YouTube unaenda Kwa kuchechemea , kitaani ndo umejichokea kabisa
Nimependa uandishi wako aiseeWATU HAMKUJUA WAKATI NANDY ANAACHIA AUDIO YAKE NA KOFFI NA WCB NAO WAKAACHIA SCANDAL YA RAY NA PAULO WATU WAKKACHA KUONGELEA NANDY NA KOFII IKAWA RAY NA PAULO HATA HII VIDEO HAIWEZI KUSAIDIA KITU KWASABABU AUDIO HAIKUFA CHOCHOTE
Tatizo wakitoka kidogo wanatulingia.
Imagine Nandy hajibu sms zangu
Hapo kweny waah wanajifanya wmesahau walivyo sema...et ooh waah imetoboa kisa mopao yupo...mimi nikasema mbona mopao yeye mwenyew hana record kama ya waah? Waksema hakuna kitu mopao ndo katembeza waah na sio kwamba ngoma ni kali.. Mungu si Athuman bwana...mopao kapiga Ngoma na nandy ,hakuna hata chembe ya record[emoji3] ,sasa walosema Koffi ndio kila kitu mbona kweny hii Ngoma mambo sio mambo...wmekimbia mkuu
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Binamu huyo zuchu atoke WCB, ajisimamie mwenyewe ndo tuanze kuwashindanisha, Zuchu label inambeba. Hana lolote.
Mtoto mzuri huyo hataki kuamini kabisa Vee [emoji383] now zilipendwa , ashatulizwa na mjarubamu wa Rotimi[emoji1787], sa hv mchuano uliopo ni Zuchu na Nandy , japo Nandy anatembelea kwenye uzoefu but soon anatoka kwenye reli asipokaza....maisha ndo yalivyo , na bado wataibuka wengine tena ...
Na wewe tafuta vya kwako sio kusifia tu WCB kila kukicha mnatuudhi sana.View attachment 1714923
Hali ya Nandy kwenye muziki sio nzuri kwa kweli anahitaji sana support yetu. Haya mambo ya kushika keyboard na kumpa sifa za uongo hatumsaidii tumwambie ukweli graph yake inazidi kwenda chini siku baada ya siku.
Huyu sio yule nandy wa ninogeshe au kivuruge.
Nandy amefikia kufanya wimbo na Koffi na hasipate walau watazamaji million 1 ndani ya siku tatu sasa na amekaa namba moja trend kwa masaa hayazidi 8 akatolewa na habari.
Imagine uwekezaji wa million 70 unaishia kupata likes na comments za insta na JF inasikitisha sana. Huko kwenye platforms za downloads na streams ndio huruma kabisa.
Kwa mwendo huu mtawalaumu bure WCB kuwa ndio chanzo cha kushuka kwake.
Mtamlaumu Zuchu kwa kubeba attention za watoto wa kike ambazo awali zilikuwa kwa Nandy.
Wale mnaokujaga na magazeti ya kufarijiana msaidieni hata mawazo.
Siku si nyingi nitashusha uzi kama huu kwa yule kijeba anaejaribu kujinasua wakati mtumbwi ushazama.
acha roho mbayaNa wewe tafuta vya kwako sio kusifia tu WCB kila kukicha mnatuudhi sana.
show zenyewe zipo wapi anazopiga?Unaajua nandy akipiga show pesa inakuwa yake ,zuchu sasa
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Hivi hunaga kazi nyingine ??show zenyewe zipo wapi anazopiga?
Hahahahah noma kweliAfadhali yako wewe nandy hajibu sms zako
Mimi kiko kidemu tangu kianze kumshabikia nandy hakajibu sms zangu
Kenyewe kikijitahidi sana kinachat na emoji
si ni kama wewe tu au unaona tunatofauti?Hivi hunaga kazi nyingine ??
Kwani bongo hakuna wapiga solo na rythm guiters??Audio ya huu wimbo ilifaa ifanyiwe congo. Hilo sebene bila solo na rythm guitar hakuna kitu
Huu wimbo nilisikia tu Koff alipoanza kuomba basiii, kwingine hakuna kitu. Wanaojua na kupenda mziki wanakielewa Hili.Ila huo wimbo sio mzuri.
Wale wapigaji wa koffi huwa wanavionjo na ladha tofauti. Na kama wapo hapa bongo basi nandy ile bajeti ya 70 million ina uwalakini jinsi ilivyotumika. Maana hata video ni ya kawaida sanaKwani bongo hakuna wapiga solo na rythm guiters??