Nandy anazidi kupotea

Nandy anazidi kupotea

Swali ni jepesi tu
Wangapi hawana smartphone?

Utajuaje kama anaupenda wimbo?
Kwan we unaishi angan Mzee , husikii hata kwenye vibanda vya kuchoma nyimbo , hata kwenye Tecno ndogo T347 , wanazengo wamejaza nyimbo gani kwenye memory card...?? Wimbo mzur unatambaa Tu kitaa , na ukitambaa kitaa ujue YouTube imechafuka , ad it's vise t is true....

Wimbo wa Nandy YouTube unaenda Kwa kuchechemea , kitaani ndo umejichokea kabisa
 
Audio ya huu wimbo ilifaa ifanyiwe congo. Hilo sebene bila solo na rythm guitar hakuna kitu
 
Kwan we unaishi angan Mzee , husikii hata kwenye vibanda vya kuchoma nyimbo , hata kwenye Tecno ndogo T347 , wanazengo wamejaza nyimbo gani kwenye memory card...?? Wimbo mzur unatambaa Tu kitaa , na ukitambaa kitaa ujue YouTube imechafuka , ad it's vise t is true....

Wimbo wa Nandy YouTube unaenda Kwa kuchechemea , kitaani ndo umejichokea kabisa
Kama hicho ni kitaa cha kwenu sawa
 
WATU HAMKUJUA WAKATI NANDY ANAACHIA AUDIO YAKE NA KOFFI NA WCB NAO WAKAACHIA SCANDAL YA RAY NA PAULO WATU WAKKACHA KUONGELEA NANDY NA KOFII IKAWA RAY NA PAULO HATA HII VIDEO HAIWEZI KUSAIDIA KITU KWASABABU AUDIO HAIKUFA CHOCHOTE
Nimependa uandishi wako aisee
 
Hapo kweny waah wanajifanya wmesahau walivyo sema...et ooh waah imetoboa kisa mopao yupo...mimi nikasema mbona mopao yeye mwenyew hana record kama ya waah? Waksema hakuna kitu mopao ndo katembeza waah na sio kwamba ngoma ni kali.. Mungu si Athuman bwana...mopao kapiga Ngoma na nandy ,hakuna hata chembe ya record[emoji3] ,sasa walosema Koffi ndio kila kitu mbona kweny hii Ngoma mambo sio mambo...wmekimbia mkuu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app

Ngoja nikaiongezee views you tube alafu nije niendelee na mjadala
 
Binamu huyo zuchu atoke WCB, ajisimamie mwenyewe ndo tuanze kuwashindanisha, Zuchu label inambeba. Hana lolote.

Huna tofauti na yuke aliyekuwa akitukebehi ya kuwa tunafaulu kwa kuwa tulikuwa tunasoma feza

Huyo nandera alishindwa nini kwenda usafini
Au yeye hapendi kuflit kwa mtaa with nipples protruding aint sure

Let her suffer as much as she could to let her mind set upon the music industry she wanna struggle into
 
Mtoto mzuri huyo hataki kuamini kabisa Vee [emoji383] now zilipendwa , ashatulizwa na mjarubamu wa Rotimi[emoji1787], sa hv mchuano uliopo ni Zuchu na Nandy , japo Nandy anatembelea kwenye uzoefu but soon anatoka kwenye reli asipokaza....maisha ndo yalivyo , na bado wataibuka wengine tena ...

Na usafini hawawezi kukubali
Kwanini nandy anenepe[emoji23][emoji23][emoji23]


Alafu dada yetu mwamvua hataki kuamini kuwa v mapesa ndio ishakua chombo ya garage

Play smart you wont stay fresh forever
 
View attachment 1714923

Hali ya Nandy kwenye muziki sio nzuri kwa kweli anahitaji sana support yetu. Haya mambo ya kushika keyboard na kumpa sifa za uongo hatumsaidii tumwambie ukweli graph yake inazidi kwenda chini siku baada ya siku.

Huyu sio yule nandy wa ninogeshe au kivuruge.

Nandy amefikia kufanya wimbo na Koffi na hasipate walau watazamaji million 1 ndani ya siku tatu sasa na amekaa namba moja trend kwa masaa hayazidi 8 akatolewa na habari.

Imagine uwekezaji wa million 70 unaishia kupata likes na comments za insta na JF inasikitisha sana. Huko kwenye platforms za downloads na streams ndio huruma kabisa.

Kwa mwendo huu mtawalaumu bure WCB kuwa ndio chanzo cha kushuka kwake.

Mtamlaumu Zuchu kwa kubeba attention za watoto wa kike ambazo awali zilikuwa kwa Nandy.

Wale mnaokujaga na magazeti ya kufarijiana msaidieni hata mawazo.

Siku si nyingi nitashusha uzi kama huu kwa yule kijeba anaejaribu kujinasua wakati mtumbwi ushazama.
Na wewe tafuta vya kwako sio kusifia tu WCB kila kukicha mnatuudhi sana.
 
Kwani bongo hakuna wapiga solo na rythm guiters??
Wale wapigaji wa koffi huwa wanavionjo na ladha tofauti. Na kama wapo hapa bongo basi nandy ile bajeti ya 70 million ina uwalakini jinsi ilivyotumika. Maana hata video ni ya kawaida sana
 
Back
Top Bottom