Nandy anazidi kupotea

Sawa..ile ngoma ni kali sana inastahili ila fuatilia kwa sasa baadhi ya ngoma imekua ngumu japo ni kali
Binafsi naona nyingi za kawaida tu zilizotoka, Rayvanny ukiacha ile na zuchu zilizofuata ni kawaida, Harmonize hana wimbo wa kushtua aliotoa, ali kiba ukitoa so hot na dodo zilizofuata ni kawaida. mama amina ya Marioo naona ilistahili zaidi ya ilichopata youtube ila ndio hivyo.
 
She madE a wrong timing...

Next time awe makini.

Alafu nasikia kabwagana na BilNas!
 
Unaposema gigy money ametumika na WCB kumchafua nandy sijakupata vizuri kwasababu beef la gigy money limeanza muda mrefu Sana na tokea mwanzo gigy money amekuwa akimkubali Sana Ruby na akimponda nandy
 
WATU HAMKUJUA WAKATI NANDY ANAACHIA AUDIO YAKE NA KOFFI NA WCB NAO WAKAACHIA SCANDAL YA RAY NA PAULO WATU WAKKACHA KUONGELEA NANDY NA KOFII IKAWA RAY NA PAULO HATA HII VIDEO HAIWEZI KUSAIDIA KITU KWASABABU AUDIO HAIKUFA CHOCHOTE
Siyo kila mtu anafuatilia maupuuzi ya hao akina Ray na Paula, ni nyie washamba shamba tuu...
 
Mkuu Rayvanny fundi yule jamaa mziki wake hauchuji hasa akiachana na zile type za akina tetema inakua hiti ngoma ninazosikiliza sana kutoka kwake na sizichoki[emoji116]
[emoji117]Vumilia
[emoji117]Ex boyfriend
[emoji117]Team
[emoji117]Unaibiwa
[emoji117]Naogopa
[emoji117]I love you
[emoji117]Number one
[emoji117]Mwanza
[emoji117]Kiuno
[emoji117]Pochi nene
 
Inaitwa "Teamo" sio team Kama ulivyosema
 
#TeamZuchuKazini,
Wapinzani watetereke
 
Ni kweli hizo nyimbo nyingi nzuri lakini we umezungumia kwa sasa ndo maana na mi nimekujibu siku za karibuni nyimbo zake zimekuwa za kawaida tu. Kiuno ni wimbo wa kawaida tu kwangu, level yake naiweka sawa na hiyo ex boyfriend ya zamani kidogo.
 
Hao ni mamburura , mpak Nandy atangaze kustaaf mziki sababu ya hasara ndo wataelewa ...kama yaliyomkuta vanesa , sa hv Nandy Hana backup support ya kumsukuma zaid ya misukule akina Mwijaku wacheza porn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wee mtu usimfananishe Vanessa na hawa watu wenu plz, hayo mahaba yako kwa WCB yawe na mipaka, hao watu wako hawamkuti Vanessa kwa chochote. Kaa kwa kutulia.
Amestaafu mziki unasema wee? Rayvan ile "twerk" aliimba na bibi yako?
Mnapo zungumzia wasanii wa kike Bongo flava, Jide na vee money wawekwe pembeni, halafu wanaobaki ndo muanze kuwa discuss.
Msieeeeeeew.
 
Binamu huyo zuchu atoke WCB, ajisimamie mwenyewe ndo tuanze kuwashindanisha, Zuchu label inambeba. Hana lolote.
 
Haswaaah umenena.
 
Oooh mpenziiiii pole na UE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…