Nandy anazidi kupotea

Aya, nimechoka😁
 
fanyeni kazi acheni wivu.
Yani view za You Tube ndiyo reference za msanii kufanya vizuri??

Hebu tafuteni pesa mpeleke watoto wenu wakasome shule nzuri ili wasiwe na vichwa vizito kufanya reasoning kama vyenu.
 
Hebu relax kwanza...[emoji3] Kwaiyo label ndio inatunga ngoma kali sio? Mana ngoma zinaenda mpaka Hispania ,kwaiyo wcb ndio inafanya hayo? Alafu zuchu hapigwi media zote kama nandy.nandy anapigw mpaka usafini..tatizo CMG ndio basi tena..mlimzoesha kumtungia ngoma sasa mmekimbia mtoto wa watu [emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Sipendi kulinganisha linganisha watu au ushabiki kwenye burudani ambayo tunapatiwa kwa kutumia vipawa vya wasanii tena wengine hata hatulipii. Ningefurahi kama tungesimama pamoja kuwasapoti hawa vijana waweze kula matunda ya ubunifu wao

Burudani wanayotoa ni kubwa mno inatuliwaza na wengine ndio tunatumia hizo hizo nyimbo kubembelezea wake zetu au kuolea kabisa na wala hatuna shukrani.

Mie msanii yoyote nchini nampenda awe WCB awe Kings Music provided napata chakula cha nafsi

Hapa namaliza kupakua (bure) albam ya Lady Jaydee natamani siku nikimuona nimpe hata elfu 10 ya vocha dada wa watu. Kaanza kutumbuiza toka FM Radio ndio zinaingia mpk leo Mungu ampe hitaji la moyo wake
 
aishie kabisa mjinga huyu. kati ya vidada nisivyopenda hata kuviangalia ni hiki. sababu kubwa ni kwamba, huwa namwona yupo innocent sana hastahili kuwa mwanamziki na kufanya ufirauni wa aina hiyo. alistahili kufanya kazi ya heshima, hata ukimwangalia usoni anastahili heshima sio ya kibongofleva. ndio maana nimeishia kukachukia tu kutokana na anayoyafanya.
 
Siyo kila mtu anafuatilia maupuuzi ya hao akina Ray na Paula, ni nyie washamba shamba tuu...
UKO KWENYE JUKWAA LA CELEBRITIES NENDA JUKWAA LINALOKUFAA UNATAFUTA NINI HUMU DUMB BITCH
 
Hiyo "sukari" imehit kwakua yupo ndani ya label, atoke nje then atoe hit tena inaweza kuwa kali zaid ya hiyo, afu uone matokeo yake.
Kama Ni hivyo mbona queen darling ajawahitoa hit song Kama sukari wakati yupo ndani ya WCB?
 
Sasa uwaambie hawa chawa wa WCB wajue hilo, maana wanajitoa ufahamu, mie wananikera na kuniboa kumfananisha vee na hawa vidampa. Khaaaaaah.
 
fanyeni kazi acheni wivu.
Yani view za You Tube ndiyo reference za msanii kufanya vizuri??

Hebu tafuteni pesa mpeleke watoto wenu wakasome shule nzuri ili wasiwe na vichwa vizito kufanya reasoning kama vyenu.
Hakika kabisaaah.
 
Sizungumzii nandy mie, huyo nandy na zuchu wenu washindanisheni hata milele yote wala hamtaona kelele zangu,
Ila sio kumuhusisha Vanessa, hapo nitakemea sana.
Vee hana wa kumkuta hao wote mnaowashindanisha hata wakiungana hawamuwezi kamweeeh.
 
Huyo darleen wako hata simjui mie, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe tu kubali zuchu uwezo wake Ni mkubwa kwanza wimbo wa sukari haikupewa promo kabisa na management ya Wasafi zaidi ya zuchu mwenyewe kuipa promo tofauti na nyimbo zake zingine
 
Wewe tu kubali zuchu uwezo wake Ni mkubwa kwanza wimbo wa sukari haikupewa promo kabisa na management ya Wasafi zaidi ya zuchu mwenyewe kuipa promo tofauti na nyimbo zake zingine
Mie sijakataa uwezo wake huyo zuchu, pia nachokataa kusindanishwa na wengine, mbaya zaidi hadi Vanessa anahusishwa, khaaaah yaan vee ashindanishwe na zuchu? Kisa sukari? Hapana siwezi kuvumilia nitakemea kwa nguvu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…