Nandy anazidi kupotea

Mie sijakataa uwezo wake huyo zuchu, pia nachokataa kusindanishwa na wengine, mbaya zaidi hadi Vanessa anahusishwa, khaaaah yaan vee ashindanishwe na zuchu? Kisa sukari? Hapana siwezi kuvumilia nitakemea kwa nguvu zote.
Sawa off course Vanessa mdee yupo vizuri hata me namkubali.
 
Vanessa Mdee mziki umemshinda kawakimbia kina Zuchu.

Mambo ya mjini inaonekana yamekupita kushoto, pole sana.
 
Sawa off course Vanessa mdee yupo vizuri hata me namkubali.
Yaan mie zuchu na nandy hata washindanishwe milele sijali, ila sio Vanessa, hakuna yeyote anayeweza kumkuta hata wao wenyewe wanajua hilo.
 
Vanessa Mdee mziki umemshinda kawakimbia kina Zuchu.

Mambo ya mjini inaonekana yamekupita kushoto, pole sana.
Yaan Vanessa awakimbie zuchu na nandy? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wee uko serious? Umeshamuona kawa video vixen wa "love somebody" ya mume wake?
Kapumzika tyuuh afurahie maisha ya utulivu ktk mahusiano ya mapenzi.
Yaan niwepo katkat ya jiji afu mambo yanipite kushoto? Poleeeeh weweeeh, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Rayvan ni mbunifu zaidi hata ya Diamond sema tu yeye hawezi kupiga hatua sana kwa kuwa yupo chini ya management, na ndiyo nahisi anataka kutoka ila hajui anatokaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vanny boy mtu mbaya hakuna kama jamaaa... Fundi wa mashairi yule..Ngoma ya number one ilinifanya nikala tunda kimasihara 🤣 in rikiboy voice😃
 
Aliwahi sana kufanya colabo na koffie,kwa watu wengi hii ilionekana kama kumuiga Mond.
Kwanza lazima tujue Mond alikuwa wa Kwanza kufanya colabo na koffie kwa wanamuziki wa bongofleva,sasa kabla hata utamu wa wimbo wa Mond na koffie haujaisha masikioni mwa watu,Nandy nae akatoa wimbo,Idea nyingi zimekopiwa kutoka wimbo wa waaah,
Hawa wanamuziki inabidi wajifunze kitu kilichomtoa Mond,ni kufanya single moja kali ya kidogodogo remix na P square/davido,wimbo uli hit hatari maana ilikuwa kitu kipya kwa mbongo kupiga colabo na wanaija,
Sasa Nandy na wengine inabidi wapige vitu vya pekee sio kuiga anavyofanya Mond,mameneja wake walichemka,
Piga colabo na Tupac,Angeliq kijo,

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Rayvan ni mbunifu zaidi hata ya Diamond sema tu yeye hawezi kupiga hatua sana kwa kuwa yupo chini ya management, na ndiyo nahisi anataka kutoka ila hajui anatokaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Harmonize naye aliwasikiliza wabongo matakwa yenu, lakini tangu ametoka sioni kikubwa anachofanya kwenye muziki zaidi kuendelea kuiga lifestyle ya diamond? Tatizo ni pale mnataka kila mwenye uwezo fulani kimuziki basi ampite diamond. Sisemi kwamba hakuna wa kumshusha lakini kwa wakati huu sijaona bado. Pia anaweza kushuka kwa sababu muda wake umepita ila sio kwa sababu anazidiwa uwezo(hii ilitokea kwa michael jackson).
 
Rayvan ni mbunifu zaidi hata ya Diamond sema tu yeye hawezi kupiga hatua sana kwa kuwa yupo chini ya management, na ndiyo nahisi anataka kutoka ila hajui anatokaje

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si anatoka tyuuh, why asijue anatokaje.
Ndo atakapoona uhalisia wa game la Bongo flavas.
 
Hiyo tabia ya fulani ampite fulan iko sana huko WCB, ndo maana now time wanawashindanisha zuchu na nandy,
Hawaoni raha wasanii wote wawe juu, wao wanataka iwe kwa WCB tyuuh.
Msieeeew zao.
 
Mnhhhh!! Anyway..umeeleweka Mimi Mars
Sizungumzii nandy mie, huyo nandy na zuchu wenu washindanisheni hata milele yote wala hamtaona kelele zangu,
Ila sio kumuhusisha Vanessa, hapo nitakemea sana.
Vee hana wa kumkuta hao wote mnaowashindanisha hata wakiungana hawamuwezi kamweeeh.
 
Kofi nae amechanganyikiwa au ilikua kungonoka ,mziki njia haiwezekani Kofi afanye utumbo nawatoto wasiojitambua
 
Audience ivi sas awataki mambo yakiki sasa wapunguze mishe zakiki♤♤
 
Endelea kukaza fuvu
 
Naungana na wewe kuhusu Nandy lakini Unajuaje kama zuchu akitoka hapo hawezi kufanya chochote? Kama umemtetea Nandy ambae amebebwa na Ruge muda mrefu n sijui umetumia kigezo gani kumshusha zuchu kwamba hawezi wakati uwezo wake umeukubali.
Fact kaka anakaza fuvu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…