Nandy aonyesha jeuri ya Pesa

Nandy aonyesha jeuri ya Pesa

Alijisemea ukweli Vanessa kuwa wasanii hamna kitu wanaishi kwa stress
Unajua nn dea, sio kwamba wasanii wa huku hawapati fedha au hawana maisha mazuri, noope wanazidi viwango na kutaka kuishi nje ya uhalisia ndo wanapoumia hapo tyuuuh
. Mf,
Vee anatak kuish km Beyonce ataweza wapi?
Nandy anatak kuish km Rihanna ataweza wapi?
Wanaishia kuigiza maisha mwsho wa siku stress na aibu tupu.
 
Mmh huyu bi kidude naye anachokitafuta atakipata, sasa sijui anamringishia nani , huyu naona hawajui wabongo vizur , atapigwa vipapai mpaka ajikute anatembelea wheel chair . Hizi Show off zake domo , Coz ako na uchawi wa hali ya juu, hakuna mbuzi yenye anaweza mgusa, sasa shoga angu huyo mwamposa kama una uhakika ana nguvu za Mungu za kweli za kukulinda , basi endelea kujishaua kama kahaba wa kinondon aliyeona range rover imepaki barabarani, mxieew kichwa kama kikapu cha sadaka .

Ila all in all , ka nandy ka hard worker sana , she is smart , hana starehe za kipumbavu kama gigy money , na hakanaga ma group ya ajabu. Mungu aendelee kukubariki

Ila na nyie mastaa hamuwezag kununua magar ya maana, basi Hako ka BMW X1 ka mil 22 Ndo kajiona Kim kardashian mwenyew, nyumba yenyewe ya kupanga, mxieew, ila hongera umewazid wote mwaego View attachment 1550910
Wasanii kwa asilimia kubwa ni kiki tu wanataka na wanakuwa feki tu katika maisha wanayotaka watu wajue wanaishi. Manake sio real. Hata music videos wanakodi hadi nguo. Mtu hata IST hana ila atataka kuonyesha ana magari ya kifahari.
 
Ila kajitahid mtoto wa watu , hakajadanga wala kutega mimba kama mikina hamisa kazi uvivu tu na kumanua miguu ndo wapate kula mjin mxieew

Ka nandy nakapenda sio kadangaji, yan anawez asigawe uroda Mwaka mzima na akaishi, sio shoga zangu mimi akina mwajuma nchokonoe( wema , Irene , hamisa, tessy na wengine) mpaka wachokonolewe ndo mambo yaende , siku miuchi yao ikipotea mjin hawana pa kukaaa wala pa kula mbwa hao manina zao
Duuh[emoji2]
 
Mmh huyu bi kidude naye anachokitafuta atakipata, sasa sijui anamringishia nani , huyu naona hawajui wabongo vizur , atapigwa vipapai mpaka ajikute anatembelea wheel chair . Hizi Show off zake domo , Coz ako na uchawi wa hali ya juu, hakuna mbuzi yenye anaweza mgusa, sasa shoga angu huyo mwamposa kama una uhakika ana nguvu za Mungu za kweli za kukulinda , basi endelea kujishaua kama kahaba wa kinondon aliyeona range rover imepaki barabarani, mxieew kichwa kama kikapu cha sadaka .

Ila all in all , ka nandy ka hard worker sana , she is smart , hana starehe za kipumbavu kama gigy money , na hakanaga ma group ya ajabu. Mungu aendelee kukubariki

Ila na nyie mastaa hamuwezag kununua magar ya maana, basi Hako ka BMW X1 ka mil 22 Ndo kajiona Kim kardashian mwenyew, nyumba yenyewe ya kupanga, mxieew, ila hongera umewazid wote mwaego View attachment 1550910
Unauma na kupuliza da wewe dada mbaya sana 🤣🤦🤪🏃
 
Unajua nn dea, sio kwamba wasanii wa huku hawapati fedha au hawana maisha mazuri, noope wanazidi viwango na kutaka kuishi nje ya uhalisia ndo wanapoumia hapo tyuuuh
. Mf,
Vee anatak kuish km Beyonce ataweza wapi?
Nandy anatak kuish km Rihanna ataweza wapi?
Wanaishia kuigiza maisha mwsho wa siku stress na aibu tupu.
Shida wanataka Mambo makubwa kuliko kipato Chao, hata huyo Mandy naona anaigiza Yuko vizuri kumbe hamna kitu, matokeo yake wanatumika vibaya na kula unga
 
Hahaaa kweli Ila tulishambuliwa Sana, jamani uchawi upo na unatenda kazi vizuri tu kwa kweli, na jamaa alikuwa na timing nzuri kweli

Hahaha, eti timing.

Mpaka sasa uzito uko kwenye ni kweli jamaa alifanya hayo.

It has been so easy.
 
Huyo Mond ndo kabisaaa saiv anajifanya wacko jacko hahahah, yaan ni vituko tupuu.
But ukimuamgalia tu usoni Hana furaha na ana mawazo mengi Sana kichwani, Diamond anahitaji ushauri wa kisaikolojia naona Kuna vitu anapitia vinamtafuna ndani kwa ndani na wengine hawalioni Hilo. He needs help
 
Back
Top Bottom