Mmh huyu bi kidude naye anachokitafuta atakipata, sasa sijui anamringishia nani, huyu naona hawajui wabongo vizurI , atapigwa vipapai mpaka ajikute anatembelea wheel chair. Hizi Show off zake domo, Coz ako na uchawi wa hali ya juu, hakuna mbuzi yenye anaweza mgusa, sasa shoga yangu huyo mwamposa kama una uhakika ana nguvu za Mungu za kweli za kukulinda , basi endelea kujishaua kama kahaba wa kinondon aliyeona range rover imepaki barabarani, mxieew kichwa kama kikapu cha sadaka.
Ila all in all , ka nandy ka hard worker sana , she is smart , hana starehe za kipumbavu kama gigy money , na hakanaga ma group ya ajabu. Mungu aendelee kukubariki
Ila na nyie mastaa hamuwezag kununua magar ya maana, basi Hako ka BMW X1 ka mil 22 Ndo kajiona Kim kardashian mwenyew, nyumba yenyewe ya kupanga, mxieew, ila hongera umewazid wote mwaego
View attachment 1550910