Watanzania tuna matatizo sana..
Okay sawa kama ni kweli tatizo liko wapi??
Mbona kama watu wanateseka?
Kuna mama ama baba yake hapa?
Kama papa ni yake akidanga ama akiliwa we unaumia nini???
Hebu acheni kufatilia mambo ya watu fanyeni kazi ikishindikana weka hata TBC ONE uangalie taarifa ya habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kupenda sasa!! Nimekumbuka kuna issue nilisoma mahali binti akitoa ushuhuda kuwa pia kitandani alikuwa njema sana[emoji85][emoji85][emoji85]
Jamaniii[emoji23][emoji16][emoji6][emoji6][emoji16]Huyohuyo anabinua makalio insta miaka rudi miaka nenda, tangu nimeingia mjini na gari la kampeni namuonaga insta anajibinua ina maana hakuna kidume alieelewa ule mbinuko auweke ndani
Mange kasemaje?
Mkuu tunasogeza siku mbele. Maisha magumh ajira hakuna na sisi wajasiramali wateja wamepungu sasa na tukose hata furaha kwa kujunguka jamanii??? Tunaongea tuu na wala hatuwabadilishi na wala hakitabadilika choochote just chill and relaaaaaxWatanzania tuna matatizo sana..
Okay sawa kama ni kweli tatizo liko wapi??
Mbona kama watu wanateseka?
Kuna mama ama baba yake hapa?
Kama papa ni yake akidanga ama akiliwa we unaumia nini???
Hebu acheni kufatilia mambo ya watu fanyeni kazi ikishindikana weka hata TBC ONE uangalie taarifa ya habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hapana huyu ni wakishua mbona..niliwahi kwenda mpaka kwaoMaeneo ya kudangia tu hayo utakuta godoro lake lipo chini hata kitanda hana...mjini kuna mambo
Sasa kama wa kishua hiyo mibinuko insta ya kazi gani? Kwao kweli? Usije kuwa umepelekwa kwa watu tehHaha hapana huyu ni wakishua mbona..niliwahi kwenda mpaka kwao
Sawa mkuu umesomeka. Ila hadi kufikia step unareply comment yangu ya kipuuzi jua kwamba na ww una tatizo kama ulivyoona kwanguNimeelewa kwa nini Tanzania ni ngumu kuendelea kiviwanda kama watu wanajadili watu badala ya maendeleo yao, kumbuka robo ya mwaka imekatika hujafanya jipya au umefanya kwa kiwango kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
haha hapo sasa sijui kwakweli mybe ameamua kuishi hivyo mbona kina langa walikuwa watoto wankishuaSasa kama wa kishua hiyo mibinuko insta ya kazi gani? Kwao kweli? Usije kuwa umepelekwa kwa watu teh
Unaambiwa!Eti umesema!!!!???
Basi ni wa kishua aliekosa akilihaha hapo sasa sijui kwakweli mybe ameamua kuishi hivyo mbona kina langa walikuwa watoto wankishua
...namsubiri kwa hamu hapa Tabata Bima mkuuNandy anaishi masaki kwenye shilawadu walionyesha amepanga nyumba nzima Sasa Kama alikuwa analipiwa Kodi na jamaa inabidi ajiandae Sasa la sivyo arudi kujichanganya tabata bima au barakuda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkww unywele huoWatajua hawajui
Kamata fursaDaaah ruge alifaidi kweli kweli. Kitu portable aisee mpaka na Mimi nimetamani Sanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wanaojadili maendeleoNimeelewa kwa nini Tanzania ni ngumu kuendelea kiviwanda kama watu wanajadili watu badala ya maendeleo yao, kumbuka robo ya mwaka imekatika hujafanya jipya au umefanya kwa kiwango kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app