Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Watanzania tuna matatizo sana..

Okay sawa kama ni kweli tatizo liko wapi??
Mbona kama watu wanateseka?
Kuna mama ama baba yake hapa?
Kama papa ni yake akidanga ama akiliwa we unaumia nini???
Hebu acheni kufatilia mambo ya watu fanyeni kazi ikishindikana weka hata TBC ONE uangalie taarifa ya habari

Sent using Jamii Forums mobile app

Na mkuu alikua hajaoa..
 
Watanzania tuna matatizo sana..

Okay sawa kama ni kweli tatizo liko wapi??
Mbona kama watu wanateseka?
Kuna mama ama baba yake hapa?
Kama papa ni yake akidanga ama akiliwa we unaumia nini???
Hebu acheni kufatilia mambo ya watu fanyeni kazi ikishindikana weka hata TBC ONE uangalie taarifa ya habari

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunasogeza siku mbele. Maisha magumh ajira hakuna na sisi wajasiramali wateja wamepungu sasa na tukose hata furaha kwa kujunguka jamanii??? Tunaongea tuu na wala hatuwabadilishi na wala hakitabadilika choochote just chill and relaaaaax
 
Nimeelewa kwa nini Tanzania ni ngumu kuendelea kiviwanda kama watu wanajadili watu badala ya maendeleo yao, kumbuka robo ya mwaka imekatika hujafanya jipya au umefanya kwa kiwango kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu umesomeka. Ila hadi kufikia step unareply comment yangu ya kipuuzi jua kwamba na ww una tatizo kama ulivyoona kwangu
 
Kulikoni! Ulingoni wamejaa wachovu
Game hatulisomi sababu ya chawa Mobu
Wazee wamefua cheki wanavyomwaga povu
Wanapiga magoti kwa Dozen na Adam Mchomvu

Aisee! Sitaki shari swagga bovu
Naacha kifo na ulemavu hamtobaki na makovu

Usifanye mchezo muda ni Yuda
Na ukikusaliti utavuta ama unga
Nandi ana uza wamemtupa Maunda..

Nikki Mbishi X Wakazi- Priceless
 
kati ya kitu kinachoweka kuweka wazi usiri/faragha ya mtu/watu ni mauti.Katika imani mauti/mtu akifa huwa kuna siri ambazo hata wafiwa wafiche namna gani hawawezi, hawana controll dhidi ya nguvu inayoambatana na mauti.Kristo yesu alipokufa siri zote za hekalu lile la wana wa israel ziliwekwa wazi baada ya pazia kuchanika katikati, pia Jacob baba wa taifa la israel alipokufa wale waliokuwa wamemtenda mabaya kwa Yusufu ambao ndio ndugu zake walijikuta wanaropoka maneno yasiyotarajiwa kwa yusufu.Ipo siri kubwa sana juu ya hali inayotokea baada ya mtu kufa.KAMA HUNA UFAHAMU MZURI JUU YA MAMBO HAYA PIA NA UHUSIANO MZURI NA MUNGU WAKO IKITOKEA MNAWEZA KUTIKISIKA SANA.This is a spiritual enviroment which usually happen after death taking place.NOTE;pia Mauti/ kifo kinaweza kupatanisha watu au kufarakanisha kabisa it depends on the spiritual relation with what u believe
 
Back
Top Bottom