Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Yani we unatutangazia Una bae , af mtu mwenyewe Billnas , lazima upunguze popularity , atangaze yupo single na pia aruhusu tumshike shike tako 😀 chap Tu mainstream zinaanza kuvunja recordNimekuelewa vizuri sana. Na ni kweli shida kubwa aliyo nayo ni ushauri sahihi, tuseme 'management' nzuri. Ule mwimbo na Koffi haukutakiwa utoke hewani.
Nikimwangalia kwa jicho lingine kama vile namwelewa na kumsamehe kwa mis-direction yake. Kwa misingi kwamba relationship yake na Nenga haikuwa na tija kwake. Kwa maana ya kwamba alikuwa na tija zaidi akipokuwa peke yake na alipokuwa na Jasiri Mwongoza Njia.
Mkuu utopolo huu? Mbona naona ana point?Umeongea utopolo mtupu ...... !!!
Ana point za hsia,za mtu ambaye ni middlemen ,.......Mkuu utopolo huu? Mbona naona ana point?
Ndo maan umekua hivyo lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiporo cha kuku wa dawa mjukuu[emoji16]
Poleeeeeeeh, unateseka ukiwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea utopolo mtupu ...... !!!
Ina mana label ya Rayvanny hujaiona, unajifanya kupita kimya kimya tuu...hebu sema neno aaahPoleeeeeeeh, unateseka ukiwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Logo ya label ka copy kwa BMW, wala hana maajabu, nasubiri kuona nae mwendo wake nje ya system.Ina mana label ya Rayvanny hujaiona, unajifanya kupita kimya kimya tuu...hebu sema neno aaah
😃😃😃😃😋😋 Uzuri hajapoteza fans hata mmoja, alipo yupo..Logo ya label ka copy kwa BMW, wala hana maajabu, nasubiri kuona nae mwendo wake nje ya system.
Wee ndo unasema hivyo, huwajui wabongo vizuri. Tuwe wapoleeeh majibu yatapatikana soon.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji39][emoji39] Uzuri hajapoteza fans hata mmoja, alipo yupo..
Asa kama Wasafi nzima itamsapoti , na fans wote , tunatia nyampa nyampa genge la kimakondeWee ndo unasema hivyo, huwajui wabongo vizuri. Tuwe wapoleeeh majibu yatapatikana soon.
Tobaaaaah yamekua haya tena?Kaushaaa
Kwahiyo mpo kwa ajiri ya kumu oppose konde? Lol mbna kazi mnayo mwaka huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa kama Wasafi nzima itamsapoti , na fans wote , tunatia nyampa nyampa genge la kimakonde
Sasa wee babuuh unajibu hivo km kijana bhana, hebu waachie wajukuu zako lugha hizo.Utakosa zawadi ya babu shauri yako mjukuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Hahaha [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1691][emoji1533][emoji1752]Sasa wee babuuh unajibu hivo km kijana bhana, hebu waachie wajukuu zako lugha hizo.
Hapo kwa zawadi kusiwe na mabadiliko lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]