Nandy, Mafiga matatu yatakuponza

Nandy, Mafiga matatu yatakuponza

Nimekuelewa vizuri sana. Na ni kweli shida kubwa aliyo nayo ni ushauri sahihi, tuseme 'management' nzuri. Ule mwimbo na Koffi haukutakiwa utoke hewani.
Nikimwangalia kwa jicho lingine kama vile namwelewa na kumsamehe kwa mis-direction yake. Kwa misingi kwamba relationship yake na Nenga haikuwa na tija kwake. Kwa maana ya kwamba alikuwa na tija zaidi akipokuwa peke yake na alipokuwa na Jasiri Mwongoza Njia.
Yani we unatutangazia Una bae , af mtu mwenyewe Billnas , lazima upunguze popularity , atangaze yupo single na pia aruhusu tumshike shike tako 😀 chap Tu mainstream zinaanza kuvunja record
 
Ina mana label ya Rayvanny hujaiona, unajifanya kupita kimya kimya tuu...hebu sema neno aaah
Logo ya label ka copy kwa BMW, wala hana maajabu, nasubiri kuona nae mwendo wake nje ya system.
 
Logo ya label ka copy kwa BMW, wala hana maajabu, nasubiri kuona nae mwendo wake nje ya system.
😃😃😃😃😋😋 Uzuri hajapoteza fans hata mmoja, alipo yupo..
 
Wee ndo unasema hivyo, huwajui wabongo vizuri. Tuwe wapoleeeh majibu yatapatikana soon.
Asa kama Wasafi nzima itamsapoti , na fans wote , tunatia nyampa nyampa genge la kimakonde
 
Asa kama Wasafi nzima itamsapoti , na fans wote , tunatia nyampa nyampa genge la kimakonde
Kwahiyo mpo kwa ajiri ya kumu oppose konde? Lol mbna kazi mnayo mwaka huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utakosa zawadi ya babu shauri yako mjukuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Sasa wee babuuh unajibu hivo km kijana bhana, hebu waachie wajukuu zako lugha hizo.
Hapo kwa zawadi kusiwe na mabadiliko lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa wee babuuh unajibu hivo km kijana bhana, hebu waachie wajukuu zako lugha hizo.
Hapo kwa zawadi kusiwe na mabadiliko lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1691][emoji1533][emoji1752]
 
Back
Top Bottom