Nandy, Mafiga matatu yatakuponza

Nandy, Mafiga matatu yatakuponza

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kila mtu ana kipawa, talanta na kipaji chake , lakini kati ya hivyo vitatu kimoja ndio hujitokeza zaidi na kwa baadhi viwili ndio huonekana zaidi

Talanta na kipawa hivi viko kiroho na kiimani zaidi huku kipaji kikiwa kiko kimwili na kidunia zaidi. Kwenye hii dunia kuna falme kuu mbili , ufalme wa Nuru na ufalme wa giza...ufalme wa nuru uko kiimani zaidi kwa maana ya Kimungu na ufalme wa giza uko kidunia zaidi kwa maana ya shetani ...hizi ni falme mbili zisizochangamana

Nandy binti mwenye kipaji cha uimbaji kupitia nyimbo zilizomtambulisha za kidunia alianza na kufanya vema sana kwenye hii kaliba, lakini sasa anapotea..anachanja mbuga kuelekea porini...Pengine kwakuwa jasiri muongoza njia hayupo tena..

Pressure ya kubaki kileleni, mashindano ya vipaji vipya na ugumu wa soko huku akiwa hana washauri wazuri vinaweza kuwa matokeo ya yale anayofanya sasa

Nandy kashindwa kushika moja, anachanganya mambo matatu kwa wakati mmoja
Bongo fleva
Bongo movie
Gospel
Hivi vitu vitatu huwa kamwe havipikiki chungu kimoja hata siku moja...kila kimoja kina chemistry yake, ladha yake na mashabiki yake... Lazima ujitambulishe na kukubalika kwenye moja ya makundi hayo

Kuchanganya bongo fleva na bongo movie ni kujiua kisanii kwakuwa iko wazi kabisa kuwa sisi wabongo na haya mambo ya sinema za kisasa tumefeli big time..HATUWEZI.. Sisi tuko vizuri kwenye mziki walau kwasasa

Kuchanganya bongo fleva na gospel ni sawa na kuzipambanisha falme mbili zenye kutofautiana kwenye kila kitu....leo uombe nogesha kesho uimbe Mungu ni mwema ...HUTAELEWEKA KAMWE... Utajimaliza mwenyewe

Figa tatu alizochagua Nandy hazirandani asilani..anatawanya na kupoteza nguvu zake bila kujua.....Na hapaswi kutafuta mchawi kwenye hili zaidi ya washauri wake

Shetani akizeeka huwa malaika.. Usitake kuwa malaika kabla hujazeeka. Yuko wapi Stara Thomas? Mzee Yusuph ndio huyo anatanga na njia sasa...Kuna wakongwe kama Cosmas Chidumule na Mzee Makassy hawa walipoamua kuipa dunia kisogo na kumgeukia Mungu hawakuyumba wala kurudi nyuma.

Kina TID wameamua kuingia bongo movie kwakuwa hawana nafasi tena kwenye soko la mziki...huko wanalazimisha tuu...ili walau siku zisonge

Kwa umri wake Nandy na kipaji kilichomtoa cha bongo fleva angejenga mhimili imara kwanza huko.... Wakati anahangaika na bongo movie kina Zuchu wanampiku kwenye chart za umaarufu...!!!

All in all kama kaamua moja la kumrudia Mola wake na kuimba Gospel katika umri huo , awe na nia thabiti ya kiroho asije akageuka na kurudi alikotoka...ataishia kuchanganyikiwa... Kumrudia Mungu ni vita sio bata... Amuige Hafsa Kazinja...

Kama anashaurika basi atulie na kuanza upya na ashike moja tuu kwakuwa mshika mawili moja humponyoka...sasa yeye kashika matatu kwa mpigo...!!!
 
Binafsi mimi namwelewa sana nandy kwa sababu mimi ni moja ya watu ambao ni mult-talented. Kwa yeyote mwenye vipaji zaidi ya kimoja atanielewa. Hauwezi kusema ukiache kimoja au viwili ili ubaki na kimoja....kamwe huwezi. Kipaji ni aina flani ya ulevi, hauwezi kukitelekeza kipaji kimoja kirahisi hivyo hasahasa kama vipaji hivyo vinahusiana kwa ukaribu. Unaweza kuwa umelala usiku na ukapata wazo zuri sana la kimojawapo kiasi kwamba unaona kama usipolifanyia kazi utakuwa unajikosea mwenyewe.

Tazito kubwa linalowakumba watu wenye vipaji vingi ni kukosa focus. Watu hawa huwa wana unfinished projects kwenye kila kipaji chake na kufanya asiendelee. Lakini kama mtu husika akiwa na focus na kuamua kupangilia vipaji vyake na kifanya kila kimoja kihusiane na kingine....maaan., anakuwa mtu flani mwenye mafanikio sana.

Mfano wa kesi ya nandy, akipangilia kwamba; bongo fleva ikawa ndo kipaumbele chake cha kwanza (kwa maana ya kuwekeza zaidi muda na raslimali nyingine), gospel akaifanya kama sehemu ya kupumzika na kuvuta pumzi wakati akiandaa project nyingine za bongo fleva na kuigiza akawa anafanya just for fun. Hii itamfanya ku keep in touch na mashabiki na kujiongezea mashabiki kwa sababu wapo ambao hawapendi ubongo fleva wake lakini watapenda u gosple wake. Na pia wapo wasiopenda ubongo fleva wake na u gospel wake lakini watapenda u bongo muvi wake.

Katika maisha, kitu kikubwa ambacho binadamu tunaishi kukitafuta ni furaha. Kama kuna kitu ambacho unaamini ukikifanya kitakupa furaha, we fanya tu bora usivunje sheria na kanuni za maadili za jamii husika bila kujali wengine watasema nini kwa kuwa hajui kina cha furaha yako. Kama ni makosa kila mtu hufanya.

Mimi sio shabiki wa muziki wa bongo fleva hivyo siyo shabiki wa nandy pia lakini nimejaribu kuongea katika mtazamo wa asili ya watu wenye bipaji zaidi ya kimoja.
 
Unaeleweka chief Tena vizuri Sana

Nashangaa Sana kwa Nini Nandy kuimba gospel imekuwa ishu kubwa na watu wanaiona hiyo Kama mwanzo wa kuanguka kwake

Ukweli Ni kuwa bado Yuko vizuri na anajaribu kuwa wa kitofauti na wengine na kufanya kile ambacho kitampa amani ya moyo wake

Kwa Nini Sasa ivi ?
Mbona alifanya remix za gospel myaka kadhaa nyuma na haikuwa ishu na ziliskika Sana mitaani?

Ukweli Ni kuwa. mnamjaza na kuwajaza watu hio mentality ya kuwa ameishiwa na kuwa anguko lake Ndo limefika kitakachotokea Ni kuwa ataanza kupanik na kuloose confidence na concentration ataanza kuona hapewi support na attention ya watu. Na mashabiki wataona hawapi kile wakitakacho na kuanza kuona haya mnayoyasema Sasa kuwa mko sawa na wataacha mpa support. Ataanza kulia Lia Kama kina. Aslay, Vanessa,harmo na wengineo.
 
Binafsi mimi namwelewa sana nandy kwa sababu mimi ni moja ya watu ambao ni mult-talented. Kwa yeyote mwenye vipaji zaidi ya kimoja atanielewa. Hauwezi kusema ukiache kimoja au viwili ili ubaki na kimoja....kamwe huwezi. Kipaji ni aina flani ya ulevi, hauwezi kukitelekeza kipaji kimoja kirahisi hivyo hasahasa kama vipaji hivyo vinahusiana kwa ukaribu. Unaweza kuwa umelala usiku na ukapata wazo zuri sana la kimojawapo kiasi kwamba unaona kama usipolifanyia kazi utakuwa unajikosea mwenyewe.

Tazito kubwa linalowakumba watu wenye vipaji vingi ni kukosa focus. Watu hawa huwa wana unfinished projects kwenye kila kipaji chake na kufanya asiendelee. Lakini kama mtu husika akiwa na focus na kuamua kupangilia vipaji vyake na kifanya kila kimoja kihusiane na kingine....maaan., anakuwa mtu flani mwenye mafanikio sana.

Mfano wa kesi ya nandy, akipangilia kwamba; bongo fleva ikawa ndo kipaumbele chake cha kwanza (kwa maana ya kuwekeza zaidi muda na raslimali nyingine), gospel akaifanya kama sehemu ya kupumzika na kuvuta pumzi wakati akiandaa project nyingine za bongo fleva na kuigiza akawa anafanya just for fun. Hii itamfanya ku keep in touch na mashabiki na kujiongezea mashabiki kwa sababu wapo ambao hawapendi ubongo fleva wake lakini watapenda u gosple wake. Na pia wapo wasiopenda ubongo fleva wake na u gospel wake lakini watapenda u bongo muvi wake.

Katika maisha, kitu kikubwa ambacho binadamu tunaishi kukitafuta ni furaha. Kama kuna kitu ambacho unaamini ukikifanya kitakupa furaha, we fanya tu bora usivunje sheria na kanuni za maadili za jamii husika bila kujali wengine watasema nini kwa kuwa hajui kina cha furaha yako. Kama ni makosa kila mtu hufanya.

Mimi sio shabiki wa muziki wa bongo fleva hivyo siyo shabiki wa nandy pia lakini nimejaribu kuongea katika mtazamo wa asili ya watu wenye bipaji zaidi ya kimoja.
Unaeleweka chief Tena vizuri Sana

Nashangaa Sana kwa Nini Nandy kuimba gospel imekuwa ishu kubwa na watu wanaiona hiyo Kama mwanzo wa kuanguka kwake

Ukweli Ni kuwa bado Yuko vizuri na anajaribu kuwa wa kitofauti na wengine na kufanya kile ambacho kitampa amani ya moyo wake

Kwa Nini Sasa ivi ?
Mbona alifanya remix za gospel myaka kadhaa nyuma na haikuwa ishu na ziliskika Sana mitaani?

Ukweli Ni kuwa. mnamjaza na kuwajaza watu hio mentality ya kuwa ameishiwa na kuwa anguko lake Ndo limefika kitakachotokea Ni kuwa ataanza kupanik na kuloose confidence na concentration ataanza kuona hapewi support na attention ya watu. Na mashabiki wataona hawapi kile wakitakacho na kuanza kuona haya mnayoyasema Sasa kuwa mko sawa na wataacha mpa support. Ataanza kulia Lia Kama kina. Aslay, Vanessa,harmo na wengineo.
Kuchanganya bongo fleva na bongo movie ni kujiua kisanii kwakuwa iko wazi kabisa kuwa sisi wabongo na haya mambo ya sinema za kisasa tumefeli big time..HATUWEZI.. Sisi tuko vizuri kwenye mziki walau kwasasa
Kuchanganya bongo fleva na gospel ni sawa na kuzipambanisha falme mbili zenye kutofautiana kwenye kila kitu....leo uombe nogesha kesho uimbe Mungu ni mwema ...HUTAELEWEKA KAMWE... Utajimaliza mwenyewe
 
Wacha tuone tyme will tell ...... Naona anguko la mtu hapa ,
 
Kuchanganya bongo fleva na bongo movie ni kujiua kisanii kwakuwa iko wazi kabisa kuwa sisi wabongo na haya mambo ya sinema za kisasa tumefeli big time..HATUWEZI.. Sisi tuko vizuri kwenye mziki walau kwasasa
Kuchanganya bongo fleva na gospel ni sawa na kuzipambanisha falme mbili zenye kutofautiana kwenye kila kitu....leo uombe nogesha kesho uimbe Mungu ni mwema ...HUTAELEWEKA KAMWE... Utajimaliza mwenyewe
Nakuelewa na unaeleweka
Sema ni kuwa Tuna iishi Giza siku zote
Na ili tui ishi NURU. Ni lazima tujiswafi

Mungu hututendea yale yasiyo fikirika
Hata Kama tunaiishi Giza na kuitumikia swala la Nandy kufanya muziki wa kidunia Ni sawa na mtu yeyote anaye iishi Giza mchana na ikifika wakati wa kulala anamshukuru Mungu na kuiomba NURU iwe juu yake
Hapo Nandy Ni Kama kafanya SALA

Hapa umekuwa ukijinasibu na kujulikana kwa Mambo ya ulozi sijui kuwa Ni mlozi kweli au la lakini ninacho amini Ni kuwa unaamini katika NURU na SALA huifanya japo unaiishi Giza
Edited_20210308_094438.jpg
 
Nakuelewa na unaeleweka
Sema ni kuwa Tuna iishi Giza siku zote
Na ili tui ishi NURU. Ni lazima tujiswafi

Mungu hututendea yale yasiyo fikirika
Hata Kama tunaiishi Giza na kuitumikia swala la Nandy kufanya muziki wa kidunia Ni sawa na mtu yeyote anaye iishi Giza mchana na ikifika wakati wa kulala anamshukuru Mungu na kuiomba NURU iwe juu yake
Hapo Nandy Ni Kama kafanya SALA

Hapa umekuwa ukijinasibu na kujulikana kwa Mambo ya ulozi sijui kuwa Ni mlozi kweli au la lakini ninacho amini Ni kuwa unaamini katika NURU na SALA huifanya japo unaiishi Giza View attachment 1720026
Kuna kitu kinaitwa freewill na hii ni sauti ya rohoni , freewill ina roho mbili hasi na chanya ama giza na nuru.... Wengi wetu hujaribu kuzibance hizi roho japo automatically kuna moja huwa na nguvu zaidi ya nyingine
Kama mimi kwa mfano na ule mtazamo wako na wengine pia kwangu nina hizo freewill mbili zinazovutana mno... Kuna wakati nataka niwe mchawi kamili katili kabisa na kuna wakati najiona kwenye joho jeupe na Biblia mkononi madhabahuni pa Bwana nikichapa injili

Turudi kwa Nandy naye si tofauti na sisi wengine wote ana free will na ana kipaji cha uimbaji lakini sidhani kama ana kipawa cha gospel...nyingi ya nyimbo za Gospel alizoimba ni cover, hana utunzi binafsi...pengine anafanya kama leisure... Shida hapa ni moja ana maslahi ya kifedha kwa afanyayo...mimi sina maslahi
 
Ndo maana nikasema kuwa Ni Kama amefanya SALA lakini still anaiishi Giza

[emoji23][emoji23][emoji23] sema sipatii picha mshana ndani ya Joho jeupe biblia kuubwa alafu Yuko kwa madhabahu.
BARIKIWA
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nisome hapa utanielewa vema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom