Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile video imemharibia reputation yake sio kwa leo tuu..maisha yake yote yaliyobaki lazima itamathiri..kitendo cha dkk 1 tuu kinaweza kubadiri hali ya maisha yako, yaani huyu dada haters wake huko mbele watafukua kweli makaburi yake na hili ndio kaburi kubwaa litakalofukuliwa hadi watoto wake watakuja kuona..ni kweli wanawake ni wahanga, yaani mwanaume anapondwa kuhusu uchafu wa chumba tuu zigo lilibaki ni la mwanamke..harafu ile chu*pi mbona nzuri tuu naona pia wanamsakama pia katika angle hiyo
Mitandao imekuwa Kama ni sehemu ya watu wengi kupunguzia stress Zao ukitaka kulifatilia kila liandikwalo na hao watu Utakuwa chizi.
Watu wanalisema gheto la billnass wakati haohao akitoa nyimbo wanazidownload free, wengine hata Kwenye shoo zake hawajawahi kwenda!! Hapo hapo kuna watu wana vigheto vya ajabu hicho cha billnass kina nafuu
Waache Watoe sumu Zao mioyoni mwao Kwani ndio nafuu yao ya mioyo yao kupata ahueni Kwa misongo ya mawazo inayowatala
Kabisa wanawake wenzake ndio wanaomchafua haswaKama wanawake, wanaojua pichu zipi nzuri na zipi mbaya kwao, wasingeshikia bango ile pichu basi wanaume tungeona ipo sawa, sababu wanawake wenzake wameshika bango hapo ili kumchafua zaidi sasa na sisi tunajua ile pichu ni mbaya. Wanawake wanzake wametusanua.
Ukiamua kuifanya kazi ya Shetani hili sio big issue kwakee ni upepo utapitaaa tu. Yeye sio wa kwanza na wala hatokua wa mwishoIle video imemharibia reputation yake sio kwa leo tuu..maisha yake yote yaliyobaki lazima itamathiri..kitendo cha dkk 1 tuu kinaweza kubadiri hali ya maisha yako, yaani huyu dada haters wake huko mbele watafukua kweli makaburi yake na hili ndio kaburi kubwaa litakalofukuliwa hadi watoto wake watakuja kuona..ni kweli wanawake ni wahanga, yaani mwanaume anapondwa kuhusu uchafu wa chumba tuu zigo lilibaki ni la mwanamke..harafu ile chu*pi mbona nzuri tuu naona pia wanamsakama pia katika angle hiyo
hii english ni ya france itakuwaIts always like thatfor us women and its for a reason.
Sisi wanawakw huwa tunachukyliwa kuwa demi-gods. We bring forth life. We make men, or destroy them.
Such are our powers. We are required to stay strong in the face of calamity and never be seen degrading ourselves.
When hell breaks loose society foesnt think twice before tearing us apart.
Tujitambue cheo chetu, na hadhi zetu na nguvu tuliyo nayo kwa jamii yetu na tusikubali kujidhalilisha
Nandy yeye ndio mwenye kiherehere mbona billnass Amekaa Kimyaaaa unaambiwa jibu la mjinga ni kukaa Kimyaaaa. Kwa kuwa yeye ameitolea ufafanuzi hiyo video acha wamuattack yeye. Na akae akijua hiyo kazi anayoifanya lolote linaweza kutokea kubwa zaidi ya hilo asishangae Sana.I certainly have no problem with that, acha watapike nyongo, swali ni nani kasema lile ni ghetto la Billnas? Labda ni la Nandy mwenyewe au la mtu baki.
Kwa kumuhusisha Billnas na ghetto tu badala ya scene nzima huoni kwamba anatafutiwa upenyo wa kulikimbia hili soo huku Nandy akiendelea kupambana na mkasa peke yake.
Kama wanawake, wanaojua pichu zipi nzuri na zipi mbaya kwao, wasingeshikia bango ile pichu basi wanaume tungeona ipo sawa, sababu wanawake wenzake wameshika bango hapo ili kumchafua zaidi sasa na sisi tunajua ile pichu ni mbaya. Wanawake wanzake wametusanua.
Its always like thatfor us women and its for a reason.
Sisi wanawakw huwa tunachukyliwa kuwa demi-gods. We bring forth life. We make men, or destroy them.
Such are our powers. We are required to stay strong in the face of calamity and never be seen degrading ourselves.
When hell breaks loose society foesnt think twice before tearing us apart.
Tujitambue cheo chetu, na hadhi zetu na nguvu tuliyo nayo kwa jamii yetu na tusikubali kujidhalilisha
kwa kweli mie sikuona ubaya wa ile pichu ,unaweza ukanunua chupi nzuriiii ila haiendani na wewe ukivaa hata haikusexishi na ukanunua pichu ya kawaida ukapendeza nayo,ukapendeza na umbo lako....
Nandy yeye ndio mwenye kiherehere mbona billnass Amekaa Kimyaaaa unaambiwa jibu la mjinga ni kukaa Kimyaaaa. Kwa kuwa yeye ameitolea ufafanuzi hiyo video acha wamuattack yeye. Na akae akijua hiyo kazi anayoifanya lolote linaweza kutokea kubwa zaidi ya hilo asishangae Sana.
Nandy yeye ndio mwenye kiherehere mbona billnass Amekaa Kimyaaaa unaambiwa jibu la mjinga ni kukaa Kimyaaaa. Kwa kuwa yeye ameitolea ufafanuzi hiyo video acha wamuattack yeye. Na akae akijua hiyo kazi anayoifanya lolote linaweza kutokea kubwa zaidi ya hilo asishangae Sana.