Nandy na Women Shaming

Nandy na Women Shaming

hahaaa utoto bwana,unaexperiment vitu vingi........inauma kwa sasa ila atapona,many have gone through the same thing na wamepona,and I don't think it will affect her career as she is 'purely talented'....sio analazimisha fani
kwani wapo under 18?
 
Walitaka kick na sasa wame make headlines wacha tuwajadili...

Lile ghetto kama wanaishi ngedere..

Lile chupi la bi dada sasa ni hatari....

Walichotaka tukione tumekiona.

Shame!!!!
 
Wapambane na hali zao....kike kidemu sema kinavitako kidogo,mi kama vile hapana
 
Salam,

Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo cameraman or camerawoman if you will.

Sijui nani kavujisha ila kuna kitu kimoja nimeshuhudia katika utoaji maoni ya hii video nacho ni- Women Shaming. For some reason, msanii Nandy anapondwa, anatukanwa, memes za kumdhalilisha zinatumwa kushoto na kulia, huku Billnas akionekana kama mjanja au hausiki kabisa. Nimesikitika zaidi kuona hata wanawake wenzake hawapo upande wake zaidi ya kufurahia madhila yaliyomkuta mwanamke mwenzao

Kwa upande wa Billnas, yeye kinachosemwa ni ghetto lake kwamba ni chafu ilhali hakuna mwenye uhakika kile ni chumba cha nani, labda ni cha Nandy mwenyewe au sio cha yeyote kati yao. Somehow Billnas is given a pass to go under the radar.

Kwa mwendo huu udhalilishaji wa wanawake hauwezi kuisha hasa kama wanawake wenyewe ndo wapo mstari wa mbele kufurahia madhila ya wenzao na mfumo dume hauwezi kukoma katu.

Nimefarijika kidogo kumsikia Katibu wa BASATA akielezea bila kutetea au kuponda upande hadi pale watapokuwa na ushahidi wa kutosha na kawaongelea wasanii wote wawili kama wahanga/wahusika evenly.

Rai: wapenzi acheni kurekodi video muwapo faragha au kutumiana picha za utupu kwa sababu zozote zile. Huwezi jua zinaweza vuja hata kwa bahati mbaya, kuna kuibiwa simu, kupoteza simu, kudukuliwa but kuvuja ni kuvuja it doesn't matter zimevuja kwa njia gani. Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
Ngoja niwe mfariji wa nandy kipindi hiki kigumu kwake nimtoe out kidogo Dubai nikambadilishe mawazo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Sijui kama umeelewa nilichomaanisha, Nandy anaendelea kuwa mhanga wakati Billnas anapotezewa.

Sbb anayetomb.wa ni mwanamke sio mwanaume, ndio maana mwanamke anakuwa mhanga. Mm kidemu kikiwa kidogo dogo na vitako vidogo hata sikitaki kukiona, sina hata time nae, mm nataka mwanamke matako kweli, mrefu sana au wastani mweupe, yaani hata nikipiga 7.6inches langu naweka yote kokote voda au tigo na nabadilisha gia navyotaka, sio ukute kimwanamke kifupiii takoless alafu mm taller haifai kabisa..
 
kwani wapo under 18?

utoto ni ugeni katika mapenzi,halafu kipindi cha ku 'explore' relationship and sex ni kipindi hicho cha 18-26 ,na hiki kipindi hauwi expected kufanya maamuzi magumu,sababu japokua umekua ,haujawa matured enough...au wewe umefukuzwa kwenu as soon you turned 18?
 
I certainly have no problem with that, acha watapike nyongo, swali ni nani kasema lile ni ghetto la Billnas? Labda ni la Nandy mwenyewe au la mtu baki.

Kwa kumuhusisha Billnas na ghetto tu badala ya scene nzima huoni kwamba anatafutiwa upenyo wa kulikimbia hili soo huku Nandy akiendelea kupambana na mkasa peke yake.
Lile gheto ni la Billnenga kwa sababu nguo zilizotundikwa ni za kiume
 
Mkuu umeeleza vyema na nakubaliana na wewe, it's very unfortunate kabomoa taswira aliyojijengea yeye mwenyewe huku wanawake wenzie wakiwa mstari wa mbele kwenye kumpaka matope zaidi. Wangeweza kumstiri kwa kutoiongelea tu ingetosha kuliko kuiongelea kwa kuichambua vipande vipande. Ni wanawake wenzake waliotujulisha ile pichu haifai, wanaume walio wengi couldn't tell kama ni nzuri au mbaya.
Katika hilo hakuna cha kumwonea huruma, apandacho mtu ndicho atakachovuna. Wanawake waliokuwa wakimpenda walikuwa hawamjui kiundani, sasa wameshamjua kiundani, hivyo ni haki yao kumsulubu maana amewakata nyongo.

Ndio kanuni ya maisha, One mistake, one goal.
 
Oh I see
 
Its always like thatfor us women and its for a reason.

Sisi wanawakw huwa tunachukyliwa kuwa demi-gods. We bring forth life. We make men, or destroy them.

Such are our powers. We are required to stay strong in the face of calamity and never be seen degrading ourselves.

When hell breaks loose society foesnt think twice before tearing us apart.

Tujitambue cheo chetu, na hadhi zetu na nguvu tuliyo nayo kwa jamii yetu na tusikubali kujidhalilisha
Nimeelewa aya ya mwisho tu, but thanks[emoji16]
 
hahaaa utoto bwana,unaexperiment vitu vingi........inauma kwa sasa ila atapona,many have gone through the same thing na wamepona,and I don't think it will affect her career as she is 'purely talented'....sio analazimisha fani
Hilo suala haliishi saa hizi kumbuka kuna teknolojia ambayo imetumika kuhifadhi hiyo video,itakaa miaka na miaka.Msifanye watu waendelee kufanya makosa hovyohovyo kwakujua yatapita kirahisirahisi kwani mume wa huyo Nandy hatakua na furaha kamili pale atakapokua anaambiwa nakurushiwa video za huku yeye kamuoa.Fanyeni wasichana waishi kiuangalifu ili maisha yao ya sasa yasijekuwaletea matatizo baadae.Afande Selle hadi sasa kila watu wakitaka kuonyesha ujinga wao wanaonyesha ile picha aliovuaga akabaki na boxer,naye alidhani litapita kirahisi.
 
Ile video imemharibia reputation yake sio kwa leo tuu..maisha yake yote yaliyobaki lazima itamathiri..kitendo cha dkk 1 tuu kinaweza kubadiri hali ya maisha yako, yaani huyu dada haters wake huko mbele watafukua kweli makaburi yake na hili ndio kaburi kubwaa litakalofukuliwa hadi watoto wake watakuja kuona..ni kweli wanawake ni wahanga, yaani mwanaume anapondwa kuhusu uchafu wa chumba tuu zigo lilibaki ni la mwanamke..harafu ile chu*pi mbona nzuri tuu naona pia wanamsakama pia katika angle hiyo
Watu wanategemea staa kama yule avae zile chupi zenye kamba (bikini), sio zile za kina Mwajuma na Ashura[emoji13][emoji13]
 
Ukweli ni kwamba kwa mwanaume kugonga demu mkali/staa ni ujiko, tena ukikàa kijiwe na washkaji lazima uwasimulie na wanakupa respect, ila kwa mwanamke kugongwa ovyo ni fedheha, otherwise awe mwanaume verified/mume. So kwa vyovyote vile Nandy ndio muhanga hapo, huku Billnass akivuna respect kwa sie vitombi wenzake
 
Salam,

Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo cameraman or camerawoman if you will.

Sijui nani kavujisha ila kuna kitu kimoja nimeshuhudia katika utoaji maoni ya hii video nacho ni- Women Shaming. For some reason, msanii Nandy anapondwa, anatukanwa, memes za kumdhalilisha zinatumwa kushoto na kulia, huku Billnas akionekana kama mjanja au hausiki kabisa. Nimesikitika zaidi kuona hata wanawake wenzake hawapo upande wake zaidi ya kufurahia madhila yaliyomkuta mwanamke mwenzao

Kwa upande wa Billnas, yeye kinachosemwa ni ghetto lake kwamba ni chafu ilhali hakuna mwenye uhakika kile ni chumba cha nani, labda ni cha Nandy mwenyewe au sio cha yeyote kati yao. Somehow Billnas is given a pass to go under the radar.

Kwa mwendo huu udhalilishaji wa wanawake hauwezi kuisha hasa kama wanawake wenyewe ndo wapo mstari wa mbele kufurahia madhila ya wenzao na mfumo dume hauwezi kukoma katu.

Nimefarijika kidogo kumsikia Katibu wa BASATA akielezea bila kutetea au kuponda upande hadi pale watapokuwa na ushahidi wa kutosha na kawaongelea wasanii wote wawili kama wahanga/wahusika evenly.

Rai: wapenzi acheni kurekodi video muwapo faragha au kutumiana picha za utupu kwa sababu zozote zile. Huwezi jua zinaweza vuja hata kwa bahati mbaya, kuna kuibiwa simu, kupoteza simu, kudukuliwa but kuvuja ni kuvuja it doesn't matter zimevuja kwa njia gani. Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
Tatizo ni kwamba tulizoea kuona mambo hayo kwa watoto wa kiume. Yaani mtoto wa kiume anamlazimisha mpenzi wake ampige picha wawapo faragha.

Hii imekuja kiutofauti. Nandy mwenyewe ndo anarekodi hiyo video. Ndio maana kila mtu yupo upande wa billnass. Lakini endapo aliyekua akirekodi angekua billnass, basi kila mtu angekua upande wa nandy. Na kumuuliza billnass kwanini aliamua kumfanyia mchezo huo mwenzake

Kusema kweli, nimejikuta namchukia Nandy ghafra baada ya kujua anafanya vitu ambavyo sikuwahi kufikiria anaweza kufanya
 
Hilo suala haliishi saa hizi kumbuka kuna teknolojia ambayo imetumika kuhifadhi hiyo video,itakaa miaka na miaka.Msifanye watu waendelee kufanya makosa hovyohovyo kwakujua yatapita kirahisirahisi kwani mume wa huyo Nandy hatakua na furaha kamili pale atakapokua anaambiwa nakurushiwa video za huku yeye kamuoa.Fanyeni wasichana waishi kiuangalifu ili maisha yao ya sasa yasijekuwaletea matatizo baadae.Afande Selle hadi sasa kila watu wakitaka kuonyesha ujinga wao wanaonyesha ile picha aliovuaga akabaki na boxer,naye alidhani litapita kirahisi.
Yo yo yo.....
images%20(2).jpg
 
Haya ndo madhara ya kudharau amri kumi za Mungu
Amri ya sita;USIZINI
 
Kiki gani..? Nandy alikuwa anafuta kiki gani angali mziki wake ulishapaa juu.. ??? Hivi kuns mtu anaweza tafuta kiki kwa upuuzi alioufanya huyo binti
Kitendo cha yeye kuwa gumzo tu kwa alichokifanya ni KIKI tosha kabisa,

Anyway sikulazimishi kuamini lakini
 
Back
Top Bottom