Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka kuona ‘mkaboka’ wa bibie?!Samahani mkuu na mimi hiyo video nataka niione, inapatikana wapi kiongozi?
Kiki gani..? Nandy alikuwa anafuta kiki gani angali mziki wake ulishapaa juu.. ??? Hivi kuns mtu anaweza tafuta kiki kwa upuuzi alioufanya huyo bintiNi wachache watakaoelewa kwamba Binti alikuwa anatafuta Kiki
Watu hawaja mponda billinas kwamba chumba chake kibaya walichoponda chumba chake kuwa kichafu ukiangalia ile video utaona vitu vimetupwa tupwa hasa nguo sasa kijana mwenye elimu ya chuo chumba chake kuwa vile inashangaza.Mitandao imekuwa Kama ni sehemu ya watu wengi kupunguzia stress Zao ukitaka kulifatilia kila liandikwalo na hao watu Utakuwa chizi.
Watu wanalisema gheto la billnass wakati haohao akitoa nyimbo wanazidownload free, wengine hata Kwenye shoo zake hawajawahi kwenda!! Hapo hapo kuna watu wanataka amiliki gheto Kali
Waache watoe sumu Zao mioyoni mwao Kwani ndio nafuu yao ya mioyo yao kupata nafuu ya msongo wa mawazo .
Na ndio sisi msanii akiamua aishi kiuhalisia maneno akiishi Kwenye nyumba ya kupanga ya Bei maneno tunasema wanapanga nyumba za gharama hawajengi. Kwahiyo binadamu huwaga Hatuna jema.
Na hilo lilomkuta nandy mwanamke yoyote kinaweza kumtokea pia.
[emoji106]kwa kweli mie sikuona ubaya wa ile pichu ,unaweza ukanunua chupi nzuriiii ila haiendani na wewe ukivaa hata haikusexishi na ukanunua pichu ya kawaida ukapendeza nayo,ukapendeza na umbo lako....
Kuna kitu mleta mada hujakielewa, na ukielewa hakitakusumbua.
1/Watu wengi walikuwa wanamwona Nandy kama mwanamke mpole, mstaarabu, Anayejiheshimu na Asiye na scandal. Yaani alikuwa anaonekana kama malaika fulani hivi. Sasa kile kitendo kimewashtua waafuasi wake sana. Hali hiyo ni tofauti na Bill Nasi ambaye wengi wa mashabiki wake wanamwona kama mhuni wa kawaida sana. Hivyo hakuna kipya. (Kumbuka Video iliyoonyesha kitendo cha Albert Msando na Giggy Money kufanya ule uchafu wao(Video ambayo inafanana sana na hii ya Nandy), shutuma zilielekezwa kwa Msando zaidi ambaye ni mwanaume na wala sio kwa Giggy Money kwa sababu Msando alikuwa anaheshimika kwenye jamii wakati Giggy money anajulikana kama malaya wa kawaida sana kwenye jamii)
2/Kijamii mwanamke ndio mwenye kudhalilika kwanza ikiwa amefanya kitendo cha aibu. Kwanini? Kijamii mwanamke ni chombo cha heshima sana, ndani yake amebeba thamani ya mama, na sote tunajua mama ni nani?
Twende mbele au turudi nyuma ile video imemuondoa Nandy katika brand yake aliyokuwa imekwisha ijanga, kwa vyovyote vile Career yake lazima iyumbe kama sio kupotea, na asipojipanga vyema tegemea kwa yeye kuja na hizi mbinu...
-Ataanza kuishi kwa scandals tu ili kuendelea kujijenga kiumaarufu(Wenzake wote waliishia na huo mchezo).
-Atabadilisha mwenekano wake wa kimavazi ili kuwa kama malaya fulani ili kuendelea kukick.
-Ataachana na sanaa ya muziki ili kukwepa umaarufu unaomtafuna sasa. (Wapo warembo kadhaa walishafanya haya baada ya kupata scandal kama hizo)
s amesha omba msamaha.
Ina maana bado tu hamja msamehe?
Samahani mkuu na mimi hiyo video nataka niione, inapatikana wapi kiongozi?
Yule binti kumbafu zake, yani kajirekodi mwenyewe af kashare na shoga yake halafu analilia huruma ya watu ambao vyuma vimekaza. Wacha raia wamtumbue tu hamna namnaSimuonei huruma Nandy maana kajirekodi mwenyewe. Ukute pia kaisambaza yeye mwenyewe!
Alikuwa anapimaa Topeee wew...!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sema katika hayo mambo Mwanaume ndo huwa ananonekana SHABABIII yanii ilaa demu anaonekana malayaaa... Nandy kachafukaa sanaa aisee ilee video wapinzani wake wataitumia sana kumuumiza... Namuonea huruma vile alikuwa anaonekana decent sana.. Ruge piaa atampigaa chini sasa daah clouds ikikutemaa kupotea ni lazimaa... Diamond tu ndo Simbaaaaa dadeki... So nandy kufanywa vile ni aibu kwanza bora ingekuwa mbele...!Ile video alikuwa akiichukua mwenyewe. Nadhani tatizo linaanzia hapo. Sasa kwa nini yule dogo awe bashed? Hakuwa amevua nguo zote. Dogo alikuwa anapima oil na Nandy yupo happy tu.