you are right,ila once vitu kama hivi vikitokea kuna process unapitia,from guilty ,anger,confusion and acceptability,once ume accept and forgive yourself ,unakua at peace,havikusumbui tena hata likijuridia mara kwa mara .I don't say halitakuuma,kila ukipata kinachokukumbusha lazima upate dejavuu- feelings you felt when you first saw yourself on internet nude.i think ukipata mtu matured both in age and experience,ataaangalia other qualities that you have beyond the scandals ,we all experiment na watu wengi wana scandals na hawajulikani kwenye internet-so kuonekana on the internet sio kwamba wewe ndio Mala*ya sana and I think any MATURED MAN knows this......