Nandy na Women Shaming

Mitandao imekuwa Kama ni sehemu ya watu wengi kupunguzia stress Zao ukitaka kulifatilia kila liandikwalo na hao watu Utakuwa chizi.

Watu wanalisema gheto la billnass wakati haohao akitoa nyimbo wanazidownload free, wengine hata Kwenye shoo zake hawajawahi kwenda!! Hapo hapo kuna watu wanataka amiliki gheto Kali

Waache watoe sumu Zao mioyoni mwao Kwani ndio nafuu yao ya mioyo yao kupata nafuu ya msongo wa mawazo .

Na ndio sisi msanii akiamua aishi kiuhalisia maneno akiishi Kwenye nyumba ya kupanga ya Bei maneno tunasema wanapanga nyumba za gharama hawajengi. Kwahiyo binadamu huwaga Hatuna jema.


Na hilo lilomkuta nandy mwanamke yoyote kinaweza kumtokea pia.
 

Kama wanawake, wanaojua pichu zipi nzuri na zipi mbaya kwao, wasingeshikia bango ile pichu basi wanaume tungeona ipo sawa, sababu wanawake wenzake wameshika bango hapo ili kumchafua zaidi sasa na sisi tunajua ile pichu ni mbaya. Wanawake wanzake wametusanua.
 
Sas we ulitakaje? Billnass asemwe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 

I certainly have no problem with that, acha watapike nyongo, swali ni nani kasema lile ni ghetto la Billnas? Labda ni la Nandy mwenyewe au la mtu baki.

Kwa kumuhusisha Billnas na ghetto tu badala ya scene nzima huoni kwamba anatafutiwa upenyo wa kulikimbia hili soo huku Nandy akiendelea kupambana na mkasa peke yake.
 
Kabisa wanawake wenzake ndio wanaomchafua haswa
 
Ukiamua kuifanya kazi ya Shetani hili sio big issue kwakee ni upepo utapitaaa tu. Yeye sio wa kwanza na wala hatokua wa mwisho
 
hii english ni ya france itakuwa
 
Nandy yeye ndio mwenye kiherehere mbona billnass Amekaa Kimyaaaa unaambiwa jibu la mjinga ni kukaa Kimyaaaa. Kwa kuwa yeye ameitolea ufafanuzi hiyo video acha wamuattack yeye. Na akae akijua hiyo kazi anayoifanya lolote linaweza kutokea kubwa zaidi ya hilo asishangae Sana.
 

kwa kweli mie sikuona ubaya wa ile pichu ,unaweza ukanunua chupi nzuriiii ila haiendani na wewe ukivaa hata haikusexishi na ukanunua pichu ya kawaida ukapendeza nayo,ukapendeza na umbo lako....
 
Very good analysis. Wakati mwingine ule usemi wa Wanawake hawapendani huwa ni kweli. Kama alivyosema mtoa uzi wanawake wengi wamemponda mwenzao badala ya kumtetea.

 
kwa kweli mie sikuona ubaya wa ile pichu ,unaweza ukanunua chupi nzuriiii ila haiendani na wewe ukivaa hata haikusexishi na ukanunua pichu ya kawaida ukapendeza nayo,ukapendeza na umbo lako....

Sasa pichu inasemwa ka kavaa gunia.. I guess watu wote wa mitandaoni wanavaa Victoria Secrets straight from USA, hawavai midosho ya Kkoo, wote wanakaa kwenye mahekalu sio ghetto kama lile
 

Mkuu Nandy ndo mhanga mkuu kwenye hili, wanawake ndo huwa wahanga wakuu kwenye madhila kama haya, hivyo yeye ataendelea kuwa stigmatized zaidi ya Billnas na atapaswa kuendelea kujisafisha zaidi ya mwenzake. Aidha nasikia Billnas yupo nje ya nchi kwa sasa lakini alitoa waraka kujisafisha
 
Tatizo mnapokua faragha na mpenzi akili huwa zinakua sio zenyewe, yani mnafanya vitu hamkutarajia kufanya yani ni jambo la kua makini zaidi na zaidi ndio linahitajika
 

its true angepita kimya,kuongea ndio kwanza anatia moto petrol,pili tuna different perceptions kitu alichofanya kinaweza kutafsriwa kama uma*laya,na uma*laya haukubaliki katika jamii ya wastaarabu ,and therefore wont go without punishment,trust me hio pekee ni motivation tosha kwa hawa vifimbo cheza wa jamii kum harass physically and verbally na wanajiona wana haki kumfanyia hivyo.........utatukanwa,utasonywa,utarushiwa mawe,jiandae mama kisaikolojia...I hope mumenielewa even though maelezo yangu hayako clear....
 
s amesha omba msamaha.
Ina maana bado tu hamja msamehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…