Nandy na Women Shaming

Mm sielewi kitu kwenye ile clip, ni nani hasa alierecod ile clip, bill nass au nandy, koz sim ya nandy inaonekana kabisa ikirecord kwa uhalisia MTU akiwa anajirecord au kuselfie simu kama simu haiwezi onekana , kitakachoonekana ni mwelekeo tu
 
Ebu acha kutupotezea muda.
Walifanya kwa starehe zao.na mama ndo mpiga picha.
Hakulazimishwa.
UNAMUONEA HURUMA YA NINI?
kwani kaumia?
Walikuwa kwenye starehe zao.sioni wao sababu ya kuumia mioyo yao.
Sana sana wamepata umaarufu mpya.
Unajikata makusudj alafu unasema bahati mbaya?
Tukupe pole?
 
Wewe unajaribu kupigana na ukuta. Hali halisi ilivyo ni kuwa kwenye mambo ya mapenzi siku zote hasa Afrika faragha inapovuja mwanamke ndiye mwathirika. Ndiyo maana mwanamme kuzaa nje ya ndoa ni sifa lakini mwanamke ni umalaya. Huyo mwanamke ndiye inabidi ajilaumu mwenyewe.
 
Hata huyo matured person akimkubali tambua kua kuna ndugu,jamaa na marafiki ambao watakua wanaumizwaumizwa na ujinga wa huyo Nandy,vilevile tambua atakuja kua na watoto,we unadhani watoto hao watajisikiaje?

mnnh ndugu wataumia ofcourse sasa wewe kama umempenda mtu na unaishi nae bila wasiwasi na unajua alishawahi kuwa na scandal utafikiria maisha yako na furaha yako,au utafikiria jinsi ndugu zako wanavyoumia???,mkuu labda hili ni zito lakini tunaishi kwenye jamii ambayo tuna tolerate each other's weaknesses,kuna ndugu wanajulikana mtaani,kuwa ndugu yake Fulani ana tabia ya udokozi,wizi,mvuta bangi bado tunaishi nao hivyo hivyo,and people do change,so its good to give them that chance.......................................watoto, by the time Nandy anao wake hili swala litakua limeshazoeleka kwenye jamii yetu,😀😀tutakua na watu kibao nude on the internet mpaka litakua sio sehemu ya kuchekana na kudharauliana...😀😛...and yes I can predict this happening as there is upward trend in Tanzania Internet users statistics and second tunaona jinsi macelebrity sex videos zinakua exposed jinsi wanavyojadiliwa na kila mtu mwenye computer,i think they get gratification from that/thrill. so watu wengi Zaidi wenye access na internet watataka kuexperience the same thing........yajayo hayafurahishi,😎😎
 
Kuna mazingira yanayopelekea nandy kuhukumiwa...! Kwanza,siku moja kabla,alipost picha ya mnato akimtakia heri ya kuzaliwa bilnas,picha hiyo nandy alionekana ameegemea kifua cha bilnas.. picha ile ikazua mjadala sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii..!! Nandy alikanusha km ni mpenzi au aliwahi kuwa mpenzi wa bilnas.

Wakati watu wakiwa wanajadili hilo,ikavuja video ya aibu ikiwahusisha watu walewale waliokanusha. Baada ya kuvuja ile video,nandy ndo akakiri kutoka na bilnas lkn akadai ile video ni ya mwaka 2016. Hayo maelezo nayo yana walakini,kwa sababu kuna wimbo unaosikika ni wa mwaka 2017 mwishoni.

Nandy anastahili kupata kila kitu anachopata ktk hili sakata. Lkn la mwisho.."Ukipanda bangi huwezi kuvuna mahindi,lazima utavuna bangi".
 
Well said
 
Nandy yuko na heshima yake katika jamii ambaye ameitengeneza mwenyewe.Siamin kama kaibomoa bado nitaendelea kumwamini.Mapenzi ni swala la kawaida sana na kila mtu anafanya hakuna cha ajabu hapo..
Tatizo ni hako ka video.Ila sio kesi anaweza kurekebisha alipoharibu ingawa kashaingia doa la milele..

Angefanya Gigy, Shilole, amber ni kawaida tu
 
Kweli mkuu angeirecord ile video billnass basi ingeonekana niukatili wakijinsia
 
Bill naye kavu tu anakuwa ka choko,badala kula vitu kwa sana yulo busy na video za nini..?
Ushacheki oil iko level alafu unazingua na shooting kibao kavu sana Mwana ,kitaa Masela wameponda sana.
 
Bill naye kavu tu anakuwa ka choko,badala kula vitu kwa sana yulo busy na video za nini..?
Ushacheki oil iko level alafu unazingua na shooting kibao kavu sana Mwana ,kitaa Masela wameponda sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aisee
 
video yenyewe iko wapi??ebu wekeni hapa tuone kama kweli kajidhalilisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…