Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amuombe msamaha RUGEs amesha omba msamaha.
Ina maana bado tu hamja msamehe?
Wewe unajaribu kupigana na ukuta. Hali halisi ilivyo ni kuwa kwenye mambo ya mapenzi siku zote hasa Afrika faragha inapovuja mwanamke ndiye mwathirika. Ndiyo maana mwanamme kuzaa nje ya ndoa ni sifa lakini mwanamke ni umalaya. Huyo mwanamke ndiye inabidi ajilaumu mwenyewe.Umenipata vyema mkuu, hapo ndo mada yangu ilipo. Kwakweli nimeshangaa sana kuona Nandy mwenyewe kashika camera akirekodi, mara nyingi wanaume ndo huwa wanafanya hivyo. Lakini hata cameraman asingekuwa yeye bado Nandy angedhalilishwa huku Bilnas akiachwa, imezoeleka hivyo, wanawake hugeuka wahanga huku wanaume wakionekana wananja au wasiguswe kabisa. Sucha a crazy world we live in.
Hata huyo matured person akimkubali tambua kua kuna ndugu,jamaa na marafiki ambao watakua wanaumizwaumizwa na ujinga wa huyo Nandy,vilevile tambua atakuja kua na watoto,we unadhani watoto hao watajisikiaje?
But also she is porn staryes,she is talented...
But also she is porn star
Well saidyou are right,ila once vitu kama hivi vikitokea kuna process unapitia,from guilty ,anger,confusion and acceptability,once ume accept and forgive yourself ,unakua at peace,havikusumbui tena hata likijuridia mara kwa mara .I don't say halitakuuma,kila ukipata kinachokukumbusha lazima upate dejavuu- feelings you felt when you first saw yourself on internet nude.i think ukipata mtu matured both in age and experience,ataaangalia other qualities that you have beyond the scandals ,we all experiment na watu wengi wana scandals na hawajulikani kwenye internet-so kuonekana on the internet sio kwamba wewe ndio Mala*ya sana and I think any MATURED MAN knows this......
Kweli mkuu angeirecord ile video billnass basi ingeonekana niukatili wakijinsiaTatizo ni kwamba tulizoea kuona mambo hayo kwa watoto wa kiume. Yaani mtoto wa kiume anamlazimisha mpenzi wake ampige picha wawapo faragha.
Hii imekuja kiutofauti. Nandy mwenyewe ndo anarekodi hiyo video. Ndio maana kila mtu yupo upande wa billnass. Lakini endapo aliyekua akirekodi angekua billnass, basi kila mtu angekua upande wa nandy. Na kumuuliza billnass kwanini aliamua kumfanyia mchezo huo mwenzake
Kusema kweli, nimejikuta namchukia Nandy ghafra baada ya kujua anafanya vitu ambavyo sikuwahi kufikiria anaweza kufanya
Yule binti kumbafu zake, yani kajirekodi mwenyewe af kashare na shoga yake halafu analilia huruma ya watu ambao vyuma vimekaza. Wacha raia wamtumbue tu hamna namna
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeBill naye kavu tu anakuwa ka choko,badala kula vitu kwa sana yulo busy na video za nini..?
Ushacheki oil iko level alafu unazingua na shooting kibao kavu sana Mwana ,kitaa Masela wameponda sana.