Nandy na Women Shaming

Nandy na Women Shaming

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
12,599
Reaction score
26,263
Salam,

Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo cameraman or camerawoman if you will.

Sijui nani kavujisha ila kuna kitu kimoja nimeshuhudia katika utoaji maoni ya hii video nacho ni- Women Shaming. For some reason, msanii Nandy anapondwa, anatukanwa, memes za kumdhalilisha zinatumwa kushoto na kulia, huku Billnas akionekana kama mjanja au hausiki kabisa. Nimesikitika zaidi kuona hata wanawake wenzake hawapo upande wake zaidi ya kufurahia madhila yaliyomkuta mwanamke mwenzao

Kwa upande wa Billnas, yeye kinachosemwa ni ghetto lake kwamba ni chafu ilhali hakuna mwenye uhakika kile ni chumba cha nani, labda ni cha Nandy mwenyewe au sio cha yeyote kati yao. Somehow Billnas is given a pass to go under the radar.

Kwa mwendo huu udhalilishaji wa wanawake hauwezi kuisha hasa kama wanawake wenyewe ndo wapo mstari wa mbele kufurahia madhila ya wenzao na mfumo dume hauwezi kukoma katu.

Nimefarijika kidogo kumsikia Katibu wa BASATA akielezea bila kutetea au kuponda upande hadi pale watapokuwa na ushahidi wa kutosha na kawaongelea wasanii wote wawili kama wahanga/wahusika evenly.

Rai: wapenzi acheni kurekodi video muwapo faragha au kutumiana picha za utupu kwa sababu zozote zile. Huwezi jua zinaweza vuja hata kwa bahati mbaya, kuna kuibiwa simu, kupoteza simu, kudukuliwa but kuvuja ni kuvuja it doesn't matter zimevuja kwa njia gani. Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
 
Sijui kama umeelewa nilichomaanisha, Nandy anaendelea kuwa mhanga wakati Billnas anapotezewa.

Nimekuelewa sana mkuu, ila mimi nilijiuliza swali moja tu kuhusu origin ya udhalilishaji....nani aliechukua ile video?? ilikuwa ni Nandy, sasa kama umechukua video ina maana kuna kumbukumbu unataka uwe nayo bahati mbaya ndio imevuja......kwa hiyo kwa kesi hii amejidhalilisha mwenyewe hana wa kumlaumu (kibinadamu inaweza kumtokea yeyote yule hata mimi)....mwanaume kutokupondwa kwenye mambo ya mapenzi hiyo ni nature mkuu haitaisha leo wala kesho, ndivyo ilivyo sanasana atasifiwa.
 
Umenipata vyema mkuu, hapo ndo mada yangu ilipo. Kwakweli nimeshangaa sana kuona Nandy mwenyewe kashika camera akirekodi, mara nyingi wanaume ndo huwa wanafanya hivyo. Lakini hata cameraman asingekuwa yeye bado Nandy angedhalilishwa huku Bilnas akiachwa, imezoeleka hivyo, wanawake hugeuka wahanga huku wanaume wakionekana wananja au wasiguswe kabisa. Sucha a crazy world we live in.
 
Siku zote mwanamke ni receiver,she was born to receive
 
hahaaa utoto bwana,unaexperiment vitu vingi........inauma kwa sasa ila atapona,many have gone through the same thing na wamepona,and I don't think it will affect her career as she is 'purely talented'....sio analazimisha fani
 
Salam,

Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo cameraman or camerawoman if you will.

Sijui nani kavujisha ila kuna kitu kimoja nimeshuhudia katika utoaji maoni ya hii video nacho ni- Women Shaming. For some reason, msanii Nandy anapondwa, anatukanwa, memes za kumdhalilisha zinatumwa kushoto na kulia, huku Billnas akionekana kama mjanja au hausiki kabisa. Nimesikitika zaidi kuona hata wanawake wenzake hawapo upande wake zaidi ya kufurahia madhila yaliyomkuta mwanamke mwenzao

Kwa upande wa Billnas, yeye kinachosemwa ni ghetto lake kwamba ni chafu ilhali hakuna mwenye uhakika kile ni chumba cha nani, labda ni cha Nandy mwenyewe au sio cha yeyote kati yao. Somehow Billnas is given a pass to go under the radar.

Kwa mwendo huu udhalilishaji wa wanawake hauwezi kuisha hasa kama wanawake wenyewe ndo wapo mstari wa mbele kufurahia madhila ya wenzao na mfumo dume hauwezi kukoma katu.

Nimefarijika kidogo kumsikia Katibu wa BASATA akielezea bila kutetea au kuponda upande hadi pale watapokuwa na ushahidi wa kutosha na kawaongelea wasanii wote wawili kama wahanga/wahusika evenly.

Rai: wapenzi acheni kurekodi video muwapo faragha au kutumiana picha za utupu kwa sababu zozote zile. Huwezi jua zinaweza vuja hata kwa bahati mbaya, kuna kuibiwa simu, kupoteza simu, kudukuliwa but kuvuja ni kuvuja it doesn't matter zimevuja kwa njia gani. Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
Samahani mkuu na mimi hiyo video nataka niione, inapatikana wapi kiongozi?
 
Its always like that for us women and its for a reason.

Sisi wanawake huwa tunachukuliwa kuwa demi-gods. We bring forth life. We make men, or destroy them.

Such are our powers. We are required to stay strong in the face of calamity and never be seen degrading ourselves.

When hell breaks loose society doesn't think twice before tearing us apart.

Tujitambue cheo chetu, na hadhi zetu na nguvu tuliyo nayo kwa jamii yetu na tusikubali kujidhalilisha
 
hahaaa utoto bwana,unaexperiment vitu vingi........inauma kwa sasa ila atapona,many have gone through the same thing na wamepona,and I don't think it will affect her career as she is 'purely talented'....sio analazimisha fani

I believe she'll grow out of it eventually, but she's more stigmatized than her partner.
 
As long as ile video bado itakuwepo katika simu za watu itaendelea kumchafua ..
 
Salam,

Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo cameraman or camerawoman if you will.

Sijui nani kavujisha ila kuna kitu kimoja nimeshuhudia katika utoaji maoni ya hii video nacho ni- Women Shaming. For some reason, msanii Nandy anapondwa, anatukanwa, memes za kumdhalilisha zinatumwa kushoto na kulia, huku Billnas akionekana kama mjanja au hausiki kabisa. Nimesikitika zaidi kuona hata wanawake wenzake hawapo upande wake zaidi ya kufurahia madhila yaliyomkuta mwanamke mwenzao

Kwa upande wa Billnas, yeye kinachosemwa ni ghetto lake kwamba ni chafu ilhali hakuna mwenye uhakika kile ni chumba cha nani, labda ni cha Nandy mwenyewe au sio cha yeyote kati yao. Somehow Billnas is given a pass to go under the radar.

Kwa mwendo huu udhalilishaji wa wanawake hauwezi kuisha hasa kama wanawake wenyewe ndo wapo mstari wa mbele kufurahia madhila ya wenzao na mfumo dume hauwezi kukoma katu.

Nimefarijika kidogo kumsikia Katibu wa BASATA akielezea bila kutetea au kuponda upande hadi pale watapokuwa na ushahidi wa kutosha na kawaongelea wasanii wote wawili kama wahanga/wahusika evenly.

Rai: wapenzi acheni kurekodi video muwapo faragha au kutumiana picha za utupu kwa sababu zozote zile. Huwezi jua zinaweza vuja hata kwa bahati mbaya, kuna kuibiwa simu, kupoteza simu, kudukuliwa but kuvuja ni kuvuja it doesn't matter zimevuja kwa njia gani. Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
Wanawake huwa hawapendani daima kiongoz hvyo hicho ndo kinapelekea wanakosa nguvu
 
Its always like thatfor us women and its for a reason.

Sisi wanawakw huwa tunachukyliwa kuwa demi-gods. We bring forth life. We make men, or destroy them.

Such are our powers. We are required to stay strong in the face of calamity and never be seen degrading ourselves.

When hell breaks loose society foesnt think twice before tearing us apart.

Tujitambue cheo chetu, na hadhi zetu na nguvu tuliyo nayo kwa jamii yetu na tusikubali kujidhalilisha

Mkuu only if wanawake wote wangejua nguvu walizonazo na mtazamo kama wako, sadly wao ndo wakwanza kufurahia majanga ya wenzao.
 
Ile video imemharibia reputation yake sio kwa leo tuu..maisha yake yote yaliyobaki lazima itamathiri..kitendo cha dkk 1 tuu kinaweza kubadiri hali ya maisha yako, yaani huyu dada haters wake huko mbele watafukua kweli makaburi yake na hili ndio kaburi kubwaa litakalofukuliwa hadi watoto wake watakuja kuona..ni kweli wanawake ni wahanga, yaani mwanaume anapondwa kuhusu uchafu wa chumba tuu zigo lilibaki ni la mwanamke..harafu ile chu*pi mbona nzuri tuu naona pia wanamsakama pia katika angle hiyo
 
Back
Top Bottom