Nandy na Women Shaming

Nandy na Women Shaming

Salam,

Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo cameraman or camerawoman if you will.

Sijui nani kavujisha ila kuna kitu kimoja nimeshuhudia katika utoaji maoni ya hii video nacho ni- Women Shaming. For some reason, msanii Nandy anapondwa, anatukanwa, memes za kumdhalilisha zinatumwa kushoto na kulia, huku Billnas akionekana kama mjanja au hausiki kabisa. Nimesikitika zaidi kuona hata wanawake wenzake hawapo upande wake zaidi ya kufurahia madhila yaliyomkuta mwanamke mwenzao

Kwa upande wa Billnas, yeye kinachosemwa ni ghetto lake kwamba ni chafu ilhali hakuna mwenye uhakika kile ni chumba cha nani, labda ni cha Nandy mwenyewe au sio cha yeyote kati yao. Somehow Billnas is given a pass to go under the radar.

Kwa mwendo huu udhalilishaji wa wanawake hauwezi kuisha hasa kama wanawake wenyewe ndo wapo mstari wa mbele kufurahia madhila ya wenzao na mfumo dume hauwezi kukoma katu.

Nimefarijika kidogo kumsikia Katibu wa BASATA akielezea bila kutetea au kuponda upande hadi pale watapokuwa na ushahidi wa kutosha na kawaongelea wasanii wote wawili kama wahanga/wahusika evenly.

Rai: wapenzi acheni kurekodi video muwapo faragha au kutumiana picha za utupu kwa sababu zozote zile. Huwezi jua zinaweza vuja hata kwa bahati mbaya, kuna kuibiwa simu, kupoteza simu, kudukuliwa but kuvuja ni kuvuja it doesn't matter zimevuja kwa njia gani. Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
Wanawake wapo mstari wa mbele kudhalilishana wao kwa wao,
Wanawake pia wapo mstari wa mbele kujidhalilisha,
Kanapiga video kenyewe,
Kana ruhusu kukunwa zero yake tena kanachekelea,
Skia kitu,unadhani wanaume huwa tunafrahia tg kihiiiivyo zaidi ya njia ya kawaida?
Ipo hv, ukiwa na mwanamke,afu haumuamini amini,unamuona mjanjamjanja,na siku moja anaweza kukukimbia na akaanza kukuponda,tunachofanya huwa ni kujidhusha halafu tunaanza mawindo ya taratibu lkn kwa umakini ya kuhakikisha tgo inachakatwa,maana tunajua nikiichakata tu hautakuwa na lolote kuuubwa la kunitishia,unakuwa umeuza utu wako,unakuwa umejidharilisha,unakuwa umejipiga kufuri,
Hata ukijidai kuachana na mm unakuwa hauna thamani,wala hauwezi nitishia kwa lolote,
Akina Dada nimewanyetishia siri hii,
Wanawake tunaowathamini hatuwezi wafanyia ya nandyy maana tunajua ni wa kudumu na wa thamani kwetu,
Fikitia hata Nandyy afanye nn analipi la kujidai mbele ya billassy wakati nanii tayarii,
 
Kwakua na nandy ni mwanamke,na mwanamke mwili wake imehusiwa ustiriwe kwakua umejaa matamanio,ebu pima tu tembea na mkeo akiwa tumbo wazi nawe tumbo wazi nanip ataonekana kituko.

Pengine watamshangaa zaidi mwanamke ila ajabu ni pale ambapo wanawake wenzake wanapokuwa mstari wa mbele kuona mwenzao yupo tumbo wazi na badala ya kumstiri wanazidi kumcheka na kumvua nguo zaidi.
 
Mm sielewi kitu kwenye ile clip, ni nani hasa alierecod ile clip, bill nass au nandy, koz sim ya nandy inaonekana kabisa ikirecord kwa uhalisia MTU akiwa anajirecord au kuselfie simu kama simu haiwezi onekana , kitakachoonekana ni mwelekeo tu

Simu iliyoonenkana ni ya Billnas mkuu, Nandy ulioneka sehemu tu ya mkono ila simu yake mwenyewe haioneka sababu ndo inayorekodi, nilifuta video kwa heshima yao siwezi nikahakiki tena ila naamini ni hivyo.
 
Nandy yuko na heshima yake katika jamii ambaye ameitengeneza mwenyewe.Siamin kama kaibomoa bado nitaendelea kumwamini.Mapenzi ni swala la kawaida sana na kila mtu anafanya hakuna cha ajabu hapo..
Tatizo ni hako ka video.Ila sio kesi anaweza kurekebisha alipoharibu ingawa kashaingia doa la milele..

Angefanya Gigy, Shilole, amber ni kawaida tu

Hopefully.
 
Kuna mazingira yanayopelekea nandy kuhukumiwa...! Kwanza,siku moja kabla,alipost picha ya mnato akimtakia heri ya kuzaliwa bilnas,picha hiyo nandy alionekana ameegemea kifua cha bilnas.. picha ile ikazua mjadala sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii..!! Nandy alikanusha km ni mpenzi au aliwahi kuwa mpenzi wa bilnas.

Wakati watu wakiwa wanajadili hilo,ikavuja video ya aibu ikiwahusisha watu walewale waliokanusha. Baada ya kuvuja ile video,nandy ndo akakiri kutoka na bilnas lkn akadai ile video ni ya mwaka 2016. Hayo maelezo nayo yana walakini,kwa sababu kuna wimbo unaosikika ni wa mwaka 2017 mwishoni.

Nandy anastahili kupata kila kitu anachopata ktk hili sakata. Lkn la mwisho.."Ukipanda bangi huwezi kuvuna mahindi,lazima utavuna bangi".

Swala fikirishi
 
mnnh ndugu wataumia ofcourse sasa wewe kama umempenda mtu na unaishi nae bila wasiwasi na unajua alishawahi kuwa na scandal utafikiria maisha yako na furaha yako,au utafikiria jinsi ndugu zako wanavyoumia???,mkuu labda hili ni zito lakini tunaishi kwenye jamii ambayo tuna tolerate each other's weaknesses,kuna ndugu wanajulikana mtaani,kuwa ndugu yake Fulani ana tabia ya udokozi,wizi,mvuta bangi bado tunaishi nao hivyo hivyo,and people do change,so its good to give them that chance.......................................watoto, by the time Nandy anao wake hili swala litakua limeshazoeleka kwenye jamii yetu,😀😀tutakua na watu kibao nude on the internet mpaka litakua sio sehemu ya kuchekana na kudharauliana...😀😛...and yes I can predict this happening as there is upward trend in Tanzania Internet users statistics and second tunaona jinsi macelebrity sex videos zinakua exposed jinsi wanavyojadiliwa na kila mtu mwenye computer,i think they get gratification from that/thrill. so watu wengi Zaidi wenye access na internet watataka kuexperience the same thing........yajayo hayafurahishi,😎😎

You ain't never told no lie, hakika yajayo hayafurahishi kwa hisani ya Mshana Jr
 
Wewe unajaribu kupigana na ukuta. Hali halisi ilivyo ni kuwa kwenye mambo ya mapenzi siku zote hasa Afrika faragha inapovuja mwanamke ndiye mwathirika. Ndiyo maana mwanamme kuzaa nje ya ndoa ni sifa lakini mwanamke ni umalaya. Huyo mwanamke ndiye inabidi ajilaumu mwenyewe.

Sijapinga mkuu nimetoa rai tu kwamba there should a fair play ground, one shouldn't be given a pass to go under the radar intact huku mwingine akisulubiwa. Wote wakinywee kikombe hiki
 
Hivi kuna msanii wa mziki wa kike hapa Tz kawasasa hivi ambaye ana-trend kwenye media kumshinda Nandy....????

Labda uniambie alikuwa anatafuta Kiki ya kujilikana kuwa pamoja na yeye kuwa ni Mwamziki pia ni porn Star.....

Au labda sijui maana ya Kiki
Kwa mtu mwenye IQ ndogo amenielewa ila kwa wewe subiri utaelewa taratibu, maana inaonekana wazi hutaki kuelewa ila unataka ligi tu...

Kwa lugha nyingine naweza kukuita MPUMBAVU
Maana hutaki kuelewa
 
Kwa mtu mwenye IQ ndogo amenielewa
ni kweli mwenye IQ ndogo...uuesahau kuwa.binadamu huwa tinapimwa uelewa kwa IQ kubwa...

ila kwa wewe subiri utaelewa taratibu, maana inaonekana wazi hutaki kuelewa ila unataka ligi tu...
Usinilishe maneno weye! Nitake ligi na wewe ambaye hujui hata unachokiandika..!?? Kuwa na adabu..

Kwa lugha nyingine naweza kukuita MPUMBAVU
Maana hutaki kuelewa
Sasa kama unayoandika yanaeleweka na wenye IQ ndogo....then let me rest my case
 
Wanaume sisi ni wajanja sana,uchi wetu huwa hauonekani hovyo,wanawake watavua nguo zote ila mwanaume anasogeza boxer chini na ngumu dushe kuonekana,sasa utakuta mhanga lazima atakuwa mwanamke tu
 
ni kweli mwenye IQ ndogo...uuesahau kuwa.binadamu huwa tinapimwa uelewa kwa IQ kubwa...

Usinilishe maneno weye! Nitake ligi na wewe ambaye hujui hata unachokiandika..!?? Kuwa na adabu..


Sasa kama unayoandika yanaeleweka na wenye IQ ndogo....then let me rest my case
OKAY
 
30077187_151258455711587_2739789354997121024_n.jpg
 

Haya ndo tunayosema, hapo utaona Nandy anaombewa mabaya na kwamba atakoma, atakosa shows nakadhalika ila Billnas hahusishwi. Kwamba yeye aendelee kupata shows. Kwanini Billnas haombewi mabaya kama wamuombeavyo Nandy?

Dogo Janja angeweka wazi majina ya hao watu vinginevyo hii inabaki kuwa mipasho tu kama alishindwa kuwakosoa wakiwa huko huko kwenye maongezi yao.
 
Back
Top Bottom