NANENANE DAY: Kwa mara ya kwanza katika historia Bajeti ya maendeleo ya Kilimo imefikia shilingi trilioni moja. Je, Tunalakujifunza?

Mwanahabari Huria

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
406
Reaction score
308
1754628344558.png

Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo

Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si kazi za Rais Samia.

Unaweza ukaona, Mzani wa Bajeti ya Kilimo chini ya Rais Samia umeegemea kwenye fedha za maendeleo kwa shilingi trilioni 1.03 dhidi ya shilingi bilioni 200 za matumizi yasiyo ya maendeleo mwaka wa fedha 2025|26.

Wizara ya Kilimo ilitengewa jumla ya Shilingi 1,248,961,680,000 kupitia Fungu 43, Fungu 05 na Fungu 24. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,033,046,318,000 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 215,915,362,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida hadi Aprili 2025, Shilingi 664,362,952,241.59 sawa na asilimia 53.19 ya fedha zilizoidhinishwa zimetolewa. Kati ya fedha hizo, Shilingi 568,062,970,958.11 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 96,299,981,283.48 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida,

Rais Samia atenga fedha za maendeleo ya kilimo mara tano zaidi ya fedha za matumizi yasiyo ya maendeleo.
 
View attachment 3435484

Hujui kitu
 
Kutenga bajeti ya trilioni 1+ halafu nusu ya hiyo hela ikitumika kununulia magari ya misele na kulipana posho, badala ya kuwakopesha wakulima zana za kisasa za kilimo, kuanzisha kilimo cha kisasa cha umwagiliaji, kuwafundisha wakulima kuondokana na kilimo cha mazoea, kuwatafutia wakulima masoko ya uhakika ya mazao yao nje na ndani ya nchi, nk. Bado itabakia kuwa ni kazi bure.

Binafsi natamani kuona siku moja kilimo ndani ya hii nchi kinakuwa na tija kuliko ilivyo hivi sasa.
 
View attachment 3435484
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo

Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si kazi za Rais Samia.

Unaweza ukaona, Mzani wa Bajeti ya Kilimo chini ya Rais Samia umeegemea kwenye fedha za maendeleo kwa shilingi trilioni 1.03 dhidi ya shilingi bilioni 200 za matumizi yasiyo ya maendeleo mwaka wa fedha 2025|26.

Wizara ya Kilimo ilitengewa jumla ya Shilingi 1,248,961,680,000 kupitia Fungu 43, Fungu 05 na Fungu 24. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,033,046,318,000 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 215,915,362,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida hadi Aprili 2025, Shilingi 664,362,952,241.59 sawa na asilimia 53.19 ya fedha zilizoidhinishwa zimetolewa. Kati ya fedha hizo, Shilingi 568,062,970,958.11 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 96,299,981,283.48 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida,

Rais Samia atenga fedha za maendeleo ya kilimo mara tano zaidi ya fedha za matumizi yasiyo ya maendeleo.
Imekaa Vizuri hii taarifa
 
Kutenga bajeti ya trilioni 1+ halafu nusu ya hiyo hela ikitumika kununulia magari ya misele na kulipana posho, badala ya kuwakopesha wakulima zana za kilimo, kuanzisha kilimo cha kisasa cha umwagiliaji, kuwandisha wakulima kuondokana na kilimo cha mazoea, kuwatafutia wakulima masoko ya uhakika ya mazao yao nje na ndani ya nchi, nk. Bado itabakia kuwa ni kazi bure.

Binafsi natamani kuona siku moja kilimo ndani ya hii nchi kinakuwa na tija kuliko ilivyo hivi sasa.
Tanzania tunahitaji kuwa serious na mambo ya msingio, hizi pesa anazotoa mama kwenye kilimo ipo siku zinatoa matokeo chsnys
 
Hizi ni show-off tu hakuna jipya, kwasababu hata miaka 10 ijayo bado tuta-import Mafuta ya Kula na Ngano...

Badala ya kujenga Irrigation Schemes mnanunua magari na hela za chai na posho za vikao na semina,,, Trillioni 8 zinaweza kubadilisha hii nchi kuwa ya Kilimo kwa kujenga Hekta Milioni 4000 za umwagiliaji kwenye maeneo yenye vyanzo stahiki vya maji..

Twendelee na Maigizo..
 
sio kweli Tanzania iko katika mwelekeo mzuri sana
 
Angetununulia matrekta angeonekana wa maana!!!
=√Reforms zikishindikana;
#Mpina💪2025
 
View attachment 3435484
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo

Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si kazi za Rais Samia.

Unaweza ukaona, Mzani wa Bajeti ya Kilimo chini ya Rais Samia umeegemea kwenye fedha za maendeleo kwa shilingi trilioni 1.03 dhidi ya shilingi bilioni 200 za matumizi yasiyo ya maendeleo mwaka wa fedha 2025|26.

Wizara ya Kilimo ilitengewa jumla ya Shilingi 1,248,961,680,000 kupitia Fungu 43, Fungu 05 na Fungu 24. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,033,046,318,000 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 215,915,362,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida hadi Aprili 2025, Shilingi 664,362,952,241.59 sawa na asilimia 53.19 ya fedha zilizoidhinishwa zimetolewa. Kati ya fedha hizo, Shilingi 568,062,970,958.11 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 96,299,981,283.48 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida,

Rais Samia atenga fedha za maendeleo ya kilimo mara tano zaidi ya fedha za matumizi yasiyo ya maendeleo.
Hayo magari ndio liabilities zinazoharibu uchumi wa mtanzania kwani yanatugharimu mabilioni. Sekta binafsi ilipaswa kununua magari hayo na wala sio serikkali.
 
sasa bila magari wataalamu wanafikaje site?
 
Katika nchi zilizoendelea wataalamu wa kilimo sio waajiriwa au watumishi wa serikali ni watu binafsi na makampuni yao ili kuondoa udhalimu wa wafanyakazi wa serikali.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
View attachment 3435484
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo

Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si kazi za Rais Samia.

Unaweza ukaona, Mzani wa Bajeti ya Kilimo chini ya Rais Samia umeegemea kwenye fedha za maendeleo kwa shilingi trilioni 1.03 dhidi ya shilingi bilioni 200 za matumizi yasiyo ya maendeleo mwaka wa fedha 2025|26.

Wizara ya Kilimo ilitengewa jumla ya Shilingi 1,248,961,680,000 kupitia Fungu 43, Fungu 05 na Fungu 24. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,033,046,318,000 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 215,915,362,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida hadi Aprili 2025, Shilingi 664,362,952,241.59 sawa na asilimia 53.19 ya fedha zilizoidhinishwa zimetolewa. Kati ya fedha hizo, Shilingi 568,062,970,958.11 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 96,299,981,283.48 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida,

Rais Samia atenga fedha za maendeleo ya kilimo mara tano zaidi ya fedha za matumizi yasiyo ya maendeleo.
Endelea kuvimbiwa na vihela wanavyokupa mabosi zako. Kutenga bajeti ni kitu kingine na kutoa hizo pesa ni kitu kingine. Tusubiri muda utaongea.
 
View attachment 3435484
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo

Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si kazi za Rais Samia.

Unaweza ukaona, Mzani wa Bajeti ya Kilimo chini ya Rais Samia umeegemea kwenye fedha za maendeleo kwa shilingi trilioni 1.03 dhidi ya shilingi bilioni 200 za matumizi yasiyo ya maendeleo mwaka wa fedha 2025|26.

Wizara ya Kilimo ilitengewa jumla ya Shilingi 1,248,961,680,000 kupitia Fungu 43, Fungu 05 na Fungu 24. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,033,046,318,000 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 215,915,362,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida hadi Aprili 2025, Shilingi 664,362,952,241.59 sawa na asilimia 53.19 ya fedha zilizoidhinishwa zimetolewa. Kati ya fedha hizo, Shilingi 568,062,970,958.11 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 96,299,981,283.48 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida,

Rais Samia atenga fedha za maendeleo ya kilimo mara tano zaidi ya fedha za matumizi yasiyo ya maendeleo.
Hizi mambo...nakushauri kawaone wakulima wenyewe vijijin. Hiz takwimu n bla blaa tu.
Mwaka jana tuliahidiwa kupimiwa afya ya udongo na mengine meeengi, ila kafanye ki tafit kidogo tu mashambani . Utarudi hapa na kuomba radhi.
 
View attachment 3435484
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo

Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si kazi za Rais Samia.

Unaweza ukaona, Mzani wa Bajeti ya Kilimo chini ya Rais Samia umeegemea kwenye fedha za maendeleo kwa shilingi trilioni 1.03 dhidi ya shilingi bilioni 200 za matumizi yasiyo ya maendeleo mwaka wa fedha 2025|26.

Wizara ya Kilimo ilitengewa jumla ya Shilingi 1,248,961,680,000 kupitia Fungu 43, Fungu 05 na Fungu 24. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,033,046,318,000 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 215,915,362,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida hadi Aprili 2025, Shilingi 664,362,952,241.59 sawa na asilimia 53.19 ya fedha zilizoidhinishwa zimetolewa. Kati ya fedha hizo, Shilingi 568,062,970,958.11 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 96,299,981,283.48 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida,

Rais Samia atenga fedha za maendeleo ya kilimo mara tano zaidi ya fedha za matumizi yasiyo ya maendeleo.
Mbolea, mbegu, pembejeo zote viuatilifu anajinunulia mkulima mwenyewe asilimia 💯. Hiyo trillion imemsaidia nini maskini mkulima wa Tanganyika. ?????????
 
Back
Top Bottom