Phonex Mpya
Senior Member
- Jun 21, 2025
- 128
- 39
Mbolea, mbegu, pembejeo zote viuatilifu anajinunulia mkulima mwenyewe asilimia 💯. Hiyo trillion imemsaidia nini maskini mkulima wa Tanganyika. ????????
sio kweli.

Eleza ukweli wako mkuu. Kwamba mkulima wa Tanganyika anapewa nini bure na serikali je mbolea, mbegu, ausio kweli.
harasa ya nini?
Tuletee na matokeo kwa ground,maneno tu haitooshii!View attachment 3435484
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo
Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si kazi za Rais Samia.
Unaweza ukaona, Mzani wa Bajeti ya Kilimo chini ya Rais Samia umeegemea kwenye fedha za maendeleo kwa shilingi trilioni 1.03 dhidi ya shilingi bilioni 200 za matumizi yasiyo ya maendeleo mwaka wa fedha 2025|26.
Wizara ya Kilimo ilitengewa jumla ya Shilingi 1,248,961,680,000 kupitia Fungu 43, Fungu 05 na Fungu 24. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,033,046,318,000 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 215,915,362,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida hadi Aprili 2025, Shilingi 664,362,952,241.59 sawa na asilimia 53.19 ya fedha zilizoidhinishwa zimetolewa. Kati ya fedha hizo, Shilingi 568,062,970,958.11 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 96,299,981,283.48 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida,
Rais Samia atenga fedha za maendeleo ya kilimo mara tano zaidi ya fedha za matumizi yasiyo ya maendeleo.
MATOKEO YA NINI?Tuletee na matokeo kwa ground,maneno tu haitooshii!
Hii Sio kweliMbolea, mbegu, pembejeo zote viuatilifu anajinunulia mkulima mwenyewe asilimia 💯. Hiyo trillion imemsaidia nini maskini mkulima wa Tanganyika. ?????????
mfano wa nchi hiyo ni ipi?Katika nchi zilizoendelea wataalamu wa kilimo sio waajiriwa au watumishi wa serikali ni watu binafsi na makampuni yao ili kuondoa udhalimu wa wafanyakazi wa serikali.
Marekani.mfano wa nchi hiyo ni ipi?
hakuna kitu unajua naonaMarekani.
Wakulima inatusaidiaje?View attachment 3435484
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo
Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si kazi za Rais Samia.
Unaweza ukaona, Mzani wa Bajeti ya Kilimo chini ya Rais Samia umeegemea kwenye fedha za maendeleo kwa shilingi trilioni 1.03 dhidi ya shilingi bilioni 200 za matumizi yasiyo ya maendeleo mwaka wa fedha 2025|26.
Wizara ya Kilimo ilitengewa jumla ya Shilingi 1,248,961,680,000 kupitia Fungu 43, Fungu 05 na Fungu 24. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,033,046,318,000 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 215,915,362,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida hadi Aprili 2025, Shilingi 664,362,952,241.59 sawa na asilimia 53.19 ya fedha zilizoidhinishwa zimetolewa. Kati ya fedha hizo, Shilingi 568,062,970,958.11 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na Shilingi 96,299,981,283.48 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida,
Rais Samia atenga fedha za maendeleo ya kilimo mara tano zaidi ya fedha za matumizi yasiyo ya maendeleo.
WEWE NI MKULIMA?Wakulima inatusaidiaje?
Ndio!WEWE NI MKULIMA?
story inavutia hiiView attachment 3435484

kazi inakung`utwa kwelilweliHii iwafikienwote