NANENANE DAY: Kwa mara ya kwanza katika historia Bajeti ya maendeleo ya Kilimo imefikia shilingi trilioni moja. Je, Tunalakujifunza?

Bajeti ya kununua magari ya afsa ya kuendea Bar & guest houses.
 
Tuletee na matokeo kwa ground,maneno tu haitooshii!
 
Katika nchi zilizoendelea wataalamu wa kilimo sio waajiriwa au watumishi wa serikali ni watu binafsi na makampuni yao ili kuondoa udhalimu wa wafanyakazi wa serikali.
mfano wa nchi hiyo ni ipi?
 
Wakulima inatusaidiaje?
 
story inavutia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…