Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
GAUCHO yupo kwenye daraja la kipekeeWakuu hebu tumalize huu ubishi wa muda mrefu kwa kupiga kura nani alikuwa mkali uwanjani katika suala zima la ufundi ndani ya uwanja na kuisaidia timu yake kati ya Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho.
CC: CossovoMan Belo Erythrocyte Amavubi herrera
Haaa haaa hekima jeeMkuu busara ni kitu cha bure
zidane was the best but ronaldinho was amizing
pamoja mkuuNimeCopy na sasa naPaste comment yako mkuu.
Watching Ronaldinho playing was very entertaining! (The Brazilian Samba style) He was among the greatest players of those times! But Zidane was better than him. Waweza kuwalinganisha Ronaldo na Zidane labda. But not Ronaldinho..
Dinho level nyingine babu
Sikuwahi kuupenda mpira na wala sikujua mpira ni Nini na wala sikutaka kuufuatilia mpira sikuona furaha au faida ya mpira lakini baada ya kubahatisha kuchungulia dirisha la jirani yetu mnamo 2002 na kutazama kombe la dunia kipindi cha Fainali hapo ndipo nilitaka kujua zaidi kuhusu mpira hasa hasa kuucheza I was inspired in one day by one person and all at once I become a fan RONALDINHO GAUCHO ni hatari zaidi mjumlishe zidane,ronaldo(wa sasa),movic,neymar,messi wajumlishe wote hawa utapata robo ya RONALDINHO.
NIMESHAIFUNGA HII IISHIE HAPAHAPA