Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

Nani Alikuwa Bora Kati ya Zidane na Ronaldinho?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
Angalia game walizokutana france na brazil utagundua ubora wa zizou alivompoteza huyo gaucho japo anajua ila sio kumzid mchezaji bora namba nne duniani zizou!!
 
Ronaldhino Gaucho ni mchezaji aliyewika na kutambuliwa na watu wajuzi wa masula kandanda kuwa alikuwa mchezaji Nguli asiyekuwa na wapinzani enzi zake!!
 
Gaucho ni bora. Ufundi 100/100. Ukilinganisha mafanikio ni hv: Gaucho kapata mataji yote ktk muda mfupi ukilinganisha na muda uliotumika na Zidane. Gaucho amechangia mafanikio makubwa ya Messi na Eto'o. Messi mara kadhaa amekiri hilo, na Etoo pia.
 
Back
Top Bottom