Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

Nani Alikuwa Bora Kati ya Zidane na Ronaldinho?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
Watching Ronaldinho playing was very entertaining! (The Brazilian Samba style) He was among the greatest players of those times! But Zidane was better than him. Waweza kuwalinganisha Ronaldo na Zidane labda. But not Ronaldinho..
upo nje ya mada
 
We binti hebu kuwa na heshima hata kidogo. Ronaldo ambaye hata kwa Messi anasumbuana naye ndio umlinganishe na Balozi wa soka la mbinguni duniani?? Unapozungumzia masuala ya soka UCHO mfungie kabatini, then endelea kudiscuss kuhusu hawa wengine. Alaaaaah!!
brother!
next time watu wakimuongelea Ronaldo kwenye mizani ya Zizou basi achana nq yule aliyekuwa unamuangalia juzi akicheza na atletico
 
Simply zidane since ameweza kumaintain kwa muda mrefu its not only about the skills it is also about for how long are you going to practise them...zidane the Best player in 1998 world cup and 2006 world cup...Ronaldinho the best young player in 2002 world cup and to average player in 2006 world cup..Zidane is one of the best to ever touch the Ball.
 
Apo sas mkuu unaongelea skills binafsi...sizani kam kuna mchezaji aliefika ata robo ya skills kwa gaucho...ukitaka waweke clip za skills humu utamkataa kabsa zidane wako!!.
Muulize mtu yeyote, kuhusu skills, Gaucho hakuna anaemfikia. Jamaa alikua anajua mpira balaa. Miguu ya Gaucho, naamini hata mikono yangu haimfikii. Namaanisha kuwa kumiliki kwake mpira kunazidi hata mimi nikitumia mikono, siwez kumfikia Gaucho. Suala la ufundi wa Messi na CR7 ni sawa kwa maana ya ufundi,assist na kufumania nyavu, lakini inapokuja suala la Skills, hao wote watasubiri. Siwez kumuweka Zidane kwa kuwa huyo mimi najua alikuwa mchwzaji hodari pale France na mchango wake 1998 tunaukumbuka vyema, lakini kwangu mimi rank yake haipo kwa Messi na CR7, bali kwa akina Beckham, Van Nestroy, Thiery Henry(miaka hiyo wakati yupo kwenye peak),nk wengine wa vipaji vya kati!
 
Watching Ronaldinho playing was very entertaining! (The Brazilian Samba style) He was among the greatest players of those times! But Zidane was better than him. Waweza kuwalinganisha Ronaldo na Zidane labda. But not Ronaldinho..
Uko vizuri mkuu
 
Duh kweli hata mlevi akianzisha mjadala atapata wenzake, hii ni kwa sababu sio wote twenye akili sawa
 
Back
Top Bottom