Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
upo nje ya madaWatching Ronaldinho playing was very entertaining! (The Brazilian Samba style) He was among the greatest players of those times! But Zidane was better than him. Waweza kuwalinganisha Ronaldo na Zidane labda. But not Ronaldinho..
Kuwa mchezaji mzuri sio sababu ya kuwa kocha. Pele na ubora wake hajawahi kuwa Kocha. Kwa hiyo kuuliza Dinho yuko kwa kuwa unamuona Zidane ni kocha hilo ni kosa kubwa sana.sahiv yuko wapi na anafanya nn?
Apo sas mkuu unaongelea skills binafsi...sizani kam kuna mchezaji aliefika ata robo ya skills kwa gaucho...ukitaka waweke clip za skills humu utamkataa kabsa zidane wako!!.Mkuu ebu weka ile clip ambayo Zidane aliwavisha kanzu wakina Ronaldo kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Brazil na France.
brother!We binti hebu kuwa na heshima hata kidogo. Ronaldo ambaye hata kwa Messi anasumbuana naye ndio umlinganishe na Balozi wa soka la mbinguni duniani?? Unapozungumzia masuala ya soka UCHO mfungie kabatini, then endelea kudiscuss kuhusu hawa wengine. Alaaaaah!!
Mkuu ulitaka aendelee kuwepo tuu,,ukiona jua asubuh ujue miaka nayo inasongasahiv yuko wapi na anafanya nn?
Muulize mtu yeyote, kuhusu skills, Gaucho hakuna anaemfikia. Jamaa alikua anajua mpira balaa. Miguu ya Gaucho, naamini hata mikono yangu haimfikii. Namaanisha kuwa kumiliki kwake mpira kunazidi hata mimi nikitumia mikono, siwez kumfikia Gaucho. Suala la ufundi wa Messi na CR7 ni sawa kwa maana ya ufundi,assist na kufumania nyavu, lakini inapokuja suala la Skills, hao wote watasubiri. Siwez kumuweka Zidane kwa kuwa huyo mimi najua alikuwa mchwzaji hodari pale France na mchango wake 1998 tunaukumbuka vyema, lakini kwangu mimi rank yake haipo kwa Messi na CR7, bali kwa akina Beckham, Van Nestroy, Thiery Henry(miaka hiyo wakati yupo kwenye peak),nk wengine wa vipaji vya kati!Apo sas mkuu unaongelea skills binafsi...sizani kam kuna mchezaji aliefika ata robo ya skills kwa gaucho...ukitaka waweke clip za skills humu utamkataa kabsa zidane wako!!.
ilibidi iweje?Swali limekosewa hatuwezi kupata majibu
Uko vizuri mkuuWatching Ronaldinho playing was very entertaining! (The Brazilian Samba style) He was among the greatest players of those times! But Zidane was better than him. Waweza kuwalinganisha Ronaldo na Zidane labda. But not Ronaldinho..