Na hapo ndipo ubora wa Saint Dinho unapoonekana yaani mechi iishe bila kufungana alafu jiulize je nime enjoy mechi?Mpira wa kufurahisha alikuwa nao Gaucho lakini wa matokeo Zizou
Bila kumsahau fundi Redondo ni hawa watatu wengne tupa kuleAmbaye unaweza kumfananisha na dinho ni okocha pekee
ExactlyAcha kumfananisha zinedin zidane zizu na mambo ya kijinga..
Kashinda kila kitu ktk muda mfupi. Inatosha. Ka-opt kula bata na watoto wazuri ambao utaishia kuwaangalia kideoni. Full stop. Una jingine?sahiv yuko wapi na anafanya nn?