Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

Nani Alikuwa Bora Kati ya Zidane na Ronaldinho?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yaan mm nawashangaa tu

Most of them ni mashabiki wa Cr7 wasikuumize kichwa, you know what linapotajwa jina la Messi na Maradona wanachanganyikiwa kamanda πŸ˜€ in short hawana hoja za msingi za kuthibitisha uwezo wake huyu jamaa wanabwabwaja tu...Messi na Diego wameutendea haki mpira, imagine hata professional football coaches na wachezaji nyota wasasa na wazamani wakiulizwa mchezaji yupi kwako bora utasikia Messi Messi Messi, na wala hutasikia wakimtaja gaucho, ndio ujue wabongo bado sana kwenye mpira...refers Mourinho, Simeon, Pep, Arsen Wenger, Sir fergi n.k ujionee about La pulga man...


Kuna hawa wababe wengineπŸ‘‡yani gaucho hagusi hapa, na wala sio level yake

1 Alfredo de stefano
2 Johan Cruiff
3 Omar Sivori
4 Pele
5 Puskas
6 Redondo n.k hawa walikuwa watu wa kazi na sio show games...


Hawa vijana wepesi mno kwangu, nimewaweka kiganjani, hawana cha kuniambia...
 
Kipindi cha nyuma Zizzou alienda kuichezea timu ya Algeria. Aliambiwa hawezi kupata namba, hata kwenye sub hatatoboa.

Mpira umekua ni biashara sana siku hizi ndio maana utoaji wa tuzo umekua na malalamiko. Tujue kutofautisha mafanikio na uwezo.

Uzuri wa mpira wa miguu ni mchezo unao onekana.

Ronaldinho ni mchezaji wa aina yake dunia imepata kushuhudia.

Siku nyingine mkilinganisha wachezaji, Gaucho mwekeni kwanza pembeni afu muendelee.

Satan
 


Wanaojua mpira hawana time nae, fuatilia katika vikosi bora vinavyopangwa na Professional's football coaches, Great star players and the world's biggest football analysts, most of them hawampangi...


Kabla ya yote naomba uthibitishe ubora wake huenda nami nikamkubali...maana hapo You talked about two things, achievements and abilities!
 
Dihno hakuwa na uwezo wa kuamua mechi??? Basi sawa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Kama ligi spaini kachukua x 2
-Spanish Super Cup 2
-Ligi ya Italia kachukua
-UEFA CL kachukua
-WC kachukua(1 ya wakubwa, 1 ya vijana)
-Copa America kachukua
-Mchezaji bora Wa Dunia
-Mchezaji bora Wa FIFA Γ— 2
-Mchezaji bora Wa America ya Kusini
- Zizou akchezea N. Team game kama 108 hivi na kufunga goli 31, Gaucho kacheza N. Team game kama 97 hivi kaifungia goli 33 hivi

Acha takataka zingine nyingi za huko kwao Brazil na U 20 huko + kufanyiwa standing Ovation na mashabiki jeuri Wa R. Madrid pale Santiago Berbabeu!

KIKUBWA NI KWAMBA ZIZOU ALITOA BURUDANI, GAUCHO ALITOA BURUDANI SANA!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
ronaldinho was one of the best and zidane is still the best. yan uzuri wa hawa viumbe wawili walipita kwenye wakati mmoja ila tu dunia ni kama ilishindwa kuwashindanisha katika zama zao ktk uchezaj wao walikuwa wanafanana kwa kiasi fulani na hata baadhi ya mafanikio yao, nimalizie kwa kusema burudani kamili ya soka ililetwa na Gaucho.
 
Kwa kusaidia timu nadhani Gaucho anapitwa na wengi tu sababu sio mtu wa kucheza mpira kiushindani, Gaucho anacheza mpira kama burudani.

Ukizungumza kwa habari ya kuuchezea mpira na mtu unapata burudani basi mpaka sasa hakuna mtu kama Ronaldinho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tutaongelea kiburudani sidhani kama kuna mchezaji alikuwa na buridani kama Gaucho.

Lakini ki soccer...nampa Zidane.... Zidane ni moja wachezaji wachache wenye uwezo wa kuibeba timu na mchango wake ukaonekana kwa anavyopambana kuhakikisha ushindi. Just like C. Ronaldo au Messi.

Gaucho ni Neymar mwenye uwezo mkubwa tu.
 
let's take ourselves back to 2006 world cup quarter final match,France vs Brazil and just see how zizzou managed to outplay gaucho,Ronaldo de Lima,Kaka,ze Roberto and likewise,....to me zidane is the best than ronaldinho
 
let's take ourselves back to 2006 world cup quarter final match,France vs Brazil and just see how zizzou managed to outplay gaucho,Ronaldo de Lima,Kaka,ze Roberto and likewise,....to me zidane is the best than ronaldinho
Aaah kuchukulia hiyo game kama reference si sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…