BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
ZIDANE
Hawa vijana sijui wanamchukuliaje Zidane! alafu wanataka kubeep kumlinganisha gaucho na Messi/Maradona 😀😀 hawa vijanawanaongea kishabiki na sio kisoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZIDANE
😂😂😂yaan mm nawashangaa tu
Messi ndo namba moja dadadeki
Kipindi cha nyuma Zizzou alienda kuichezea timu ya Algeria. Aliambiwa hawezi kupata namba, hata kwenye sub hatatoboa.
Mpira umekua ni biashara sana siku hizi ndio maana utoaji wa tuzo umekua na malalamiko. Tujue kutofautisha mafanikio na uwezo.
Uzuri wa mpira wa miguu ni mchezo unao onekana.
Ronaldinho ni mchezaji wa aina yake dunia imepata kushuhudia.
Siku nyingine mkilinganisha wachezaji, Gaucho mwekeni kwanza pembeni afu muendelee.
Satan
Dihno hakuwa na uwezo wa kuamua mechi??? Basi sawaDinho alikuwa entertainer uwanjani... Na ni mchezaji wa kawaida Kwa maana hana chochote cha kukumbukwa lakini alikuwa mjanja sana kuweza ku fool watu wengi wakamuona Kama mchezaji bora kuwahi kutokea.. Zidane ni legend katika soka, ni mtu mwenye heshima na historia kubwa kisoka na kuna mambo mengi sana ya kukumbuka kuhusu zidane. Zidane aliweza kuamua mechi, dinho hakuwa na uwezo huo , ni Kwa mda mfupi tu alikuwa tegemezi Kwa barcelona lakini alivokuja messi ghafla watu , makocha na wataalam wa mpira wakahamisha macho yao yoye Kwa messi.. Ikumbukwe hata mourinho alijizajititi kumdhibiti messi zaidi kuliko dinho (alipanga mkakati chelsea wakamtoa uwanjani) Kwa macho ya kawaida huwezi liona hili, ni huyu huyu messi aliyekuja kudumu na kuwa tegemezi, kuandika historia na kuvunja record zilizokaa Kwa zaidi ya miaka 40 ..
Katika wachezaji bora kuwahi kutokea dinho hayumo, wengi tusingependa kusikia hili lakini dinho hayumo na wala mijadala ya soka huwezi msikia dinho.. Sana sana utasikia wakimlinganisha messi na maradona au pelle na hii inaonesha ni Kwa kiasi gani dinho hana chake katika mpira....
Zizzo was far better !
Bado hujathibitisha ubora wake..hayo yote uloyasema Zidane kishayafanya na sio hayo tu, pia kasaidia timu zake tofauti na gaucho....tambua pia hapa tunazungumzia individual capabilities za mchezaji...ebu mwaga achievements zake hapa kama wewe ni kidume kweli!
Messi na Maradona ndio wamenifanya niupende mchezo wa soka, they have every reason to be praised in football....so usiwalinganishe na yeyote katika soka!
Zidane ni Gonzalo Higauin aliyechangamkaZidane hamfikii hata INIESTA.
Dinho ni kama tupacKwangu mm gaucho ni mkali zaidi hata ya messi sema watu hawatambui hilo kwasabab gaucho amewika muda mfupi sana tofauti na zidane...ila katika kipindi hicho kifupi ameonyesha uwezo wa hali ya juu
El clasico 2005 rejelea ukamuone dinhoAngalia game walizokutana france na brazil utagundua ubora wa zizou alivompoteza huyo gaucho japo anajua ila sio kumzid mchezaji bora namba nne duniani zizou!!
Aaah kuchukulia hiyo game kama reference si sahihilet's take ourselves back to 2006 world cup quarter final match,France vs Brazil and just see how zizzou managed to outplay gaucho,Ronaldo de Lima,Kaka,ze Roberto and likewise,....to me zidane is the best than ronaldinho