MBEYAILEMBO
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 136
- 58
Dinho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuwahi kuupenda mpira na wala sikujua mpira ni Nini na wala sikutaka kuufuatilia mpira sikuona furaha au faida ya mpira lakini baada ya kubahatisha kuchungulia dirisha la jirani yetu mnamo 2002 na kutazama kombe la dunia kipindi cha Fainali hapo ndipo nilitaka kujua zaidi kuhusu mpira hasa hasa kuucheza I was inspired in one day by one person and all at once I become a fan RONALDINHO GAUCHO ni hatari zaidi mjumlishe zidane,ronaldo(wa sasa),movic,neymar,messi wajumlishe wote hawa utapata robo ya RONALDINHO.
NIMESHAIFUNGA HII IISHIE HAPAHAPA
Nimeandika humu na naomba utenganishe mtu anaechezea mpira na mtu anaeujua mchezo wa mpira wa miguuNamkumbuka vizuri, pia namkumbuka Christian vieli, huyu zidane ndio alowafundisha mpira kina Thierry Henry. Huyu zidane ni dharau kumlinganisha na gaucho,
Anafaa kulinganishwa na kina paulo mardini, Gianfranco Zola, luis madeira figo, Patrick kluivert, mac overmas, philip cok, edgar devis, davor suker, boban, roberto bagio, paul auspirilla, Sebastian veron, batistuta, ariel otega, teddy sheringham,
Mkuu Gaucho ni mtu mwingineNamkumbuka vizuri, pia namkumbuka Christian vieli, huyu zidane ndio alowafundisha mpira kina Thierry Henry. Huyu zidane ni dharau kumlinganisha na gaucho,
Anafaa kulinganishwa na kina paulo mardini, Gianfranco Zola, luis madeira figo, Patrick kluivert, mac overmas, philip cok, edgar devis, davor suker, boban, roberto bagio, paul auspirilla, Sebastian veron, batistuta, ariel otega, teddy sheringham,
AiseeKuwa mchezaji mzuri sio sababu ya kuwa kocha. Pele na ubora wake hajawahi kuwa Kocha. Kwa hiyo kuuliza Dinho yuko kwa kuwa unamuona Zidane ni kocha hilo ni kosa kubwa sana.
Umebaka swaliMe cjaona mchezaji bora zaid ya Rinaldo Luis Nazario de Lima
anamaanisha amefulia mkuu muelewe.Kuwa mchezaji mzuri sio sababu ya kuwa kocha. Pele na ubora wake hajawahi kuwa Kocha. Kwa hiyo kuuliza Dinho yuko kwa kuwa unamuona Zidane ni kocha hilo ni kosa kubwa sana.
1Maradona
2Alfredo
3Pele
4Redondo
5Zinedine zidane
6Puscas
....
....
....
....
11-Gaucho
Messi baba lao
Na mimi nilitaka kusema hivyo.Sikuwahi kuupenda mpira na wala sikujua mpira ni Nini na wala sikutaka kuufuatilia mpira sikuona furaha au faida ya mpira lakini baada ya kubahatisha kuchungulia dirisha la jirani yetu mnamo 2002 na kutazama kombe la dunia kipindi cha Fainali hapo ndipo nilitaka kujua zaidi kuhusu mpira hasa hasa kuucheza I was inspired in one day by one person and all at once I become a fan RONALDINHO GAUCHO ni hatari zaidi mjumlishe zidane,ronaldo(wa sasa),movic,neymar,messi wajumlishe wote hawa utapata robo ya RONALDINHO.
NIMESHAIFUNGA HII IISHIE HAPAHAPA