Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mimi Celine Dion, hapo pia namwongeza Shania Twain maana wote ni wacanada na ni shida tupu.Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu?
Celine Dion
Whitney Houston ( Rip)
Mariah Carey
Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda.
Love doesn't ask why
A new day has come
Tiririka hapa ni nani ulikuwa unamkubali Kati ya hawa wakali watatu.
Whitney Houston alikuwa kiboko. Alikua na vocal yule mama, daaaKati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu?
Celine Dion
Whitney Houston ( Rip)
Mariah Carey
Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda.
Love doesn't ask why
A new day has come
Tiririka hapa ni nani ulikuwa unamkubali Kati ya hawa wakali watatu.
Hakuna wakumfikia huyo Marehemu hapo...Tony Braxton huwa namuelewa sana japo hayupo kwenye list.
Celine Dion inasemekana ni mkali sana ila sijawahi kumuelewa. Wimbo wake pekee ninaoweza kuusikiliza hadi mwisho ni My heart will go on basi.
Marehemu yupo vizuri sana, anajua hasa ila, personally, taste zake hazinigusa kama Tony B.Hakuna wakumfikia huyo Marehemu hapo...