Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aretha Franklin Queen of soul, hakuna wa kumgusa
Aretha was more than an artist. She was genius
Mtu anaweza kuku inspire na ukamzidi ktk kile alicho ku inspire,Aretha Franklin Queen of soul, hakuna wa kumgusa
Ukija kwenye league ya hawa wengine ni Whitney Houston, hata Mariah Carey na Celine deon wote walishawahi kukiri kuwa miss Houston aliwa_inspire kuimba
Mtu anaweza kuku inspire na ukamzidi ktk kile alicho ku inspire,
Weka na diana rose hawa ni malegendAretha Franklin Queen of soul, hakuna wa kumgusa
Ukija kwenye league ya hawa wengine ni Whitney Houston, hata Mariah Carey na Celine deon wote walishawahi kukiri kuwa miss Houston aliwa_inspire kuimba
Hao wote nilikua nawafuatilia wiitty na Mariah hawajanishawishi,Kwenye hii league, ni mariah Carey Tu ana kipaji zaidi maana ni song writer and producer, kitu ambacho whitney Houston na celine hawana sana maana walikuwa wanaandikiwa nyimbo zao
Ukiingia kwenye mauzo yao per singles na album plus Tuzo, hakuna anaemgusa whitney maana ndiye "the most awarded female artist of all time"
Ukija kwenye sauti wote ni wakali ndio maana wanaitwa "The vocal trinity" Ila whitney ndio huwa anaitwa THE VOICE, Kaangalie live peformance zake ulinganishe na hawa wengine utaelewa coca