Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Yaan hata sijui umerithi wapi hizo mambo,,faza wako mbona sipo hivyoAf dingi nakudekeree unavyoniaje...kausha mshua masta😅😅😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan hata sijui umerithi wapi hizo mambo,,faza wako mbona sipo hivyoAf dingi nakudekeree unavyoniaje...kausha mshua masta😅😅😅😅😅
Sina maisha dingii...uza lile ghorofa bas🌝🌝Yaan hata sijui umerithi wapi hizo mambo,,faza wako mbona sipo hivyo
Nilitoa elf10 nne mkuu. Jumla elfu40 hata hivyo nisingeondoka bila kuwapa chochote walimu wangu.Kwahiyo ukapewa cheti bila kulipa "sentano"?
Ila hapo kwenye kusema walimu wana wakati mgumu kisa tu uliona wanaletewa mihogo wakati wa chai, umezingua!
Gari sina kuna sehemu nimesema ni gari la baba mkwe.Hongera Kwa kuwa na gari na mke mzuri
Mkuu LordWe jamaa sema huu uzi umeuandika kwa lengo lile lile, ambalo limekuwa common mitandaoni, la kuwadhalilisha Walimu.
Nimesoma na kuhitimisha kuwa wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu, kwasababu zifuatazo;
1.Ni ofisi ipi hapa nchini ambayo Umewahi kupewa huduma (hasa wakigundua una uhitaji sana) bila kutoa mlungula? Umewahi kwenda Uhamiaji? Vipi Polisi? Mahakamani je? Huko kote wakifanya hayo mnaona ni sawa ila wakifanya Walimu kelele mpaka nyuki wanakimbia mzinga.
2.Kuna idara fulani fulani hapa nchini mnazisifia zina pesa sana na kuudharau Ualimu. Ukweli ni kwamba, mishahara ya hizo idara au taasisi mnazozisifia kila leo siyo mikubwa kiviiile, ila zinabebwa na upigaji, ufisadi, wizi na kila aina ya rafu. Sasa kwakuwa Walimu mmewatukana sana sasa na wao wameamua kubadili gia, na mimi nawaunga mkono.
3.Ulivyo limbukeni umeonyesha kumdharau sana kifungua kinywa cha chai na mihogo ilhali ni chakula ambacho hata Ikulu unakikuta. Ulikuwa unajua Dr.Kenneth Kaunda wa Zambia, Julius Nyerere, Ali Hassan Mwinyi walikuwa wanakula nini? Endelea na hiyo miboflo yako kama unaona ndo ujanja.