Nani alimtoa bikra mke wako?

Nipo tayari kutoa hata Million 100 kama mahari kwa mwanamke bikra. Ila sio ngulati zilizojichanganya kutolewa bikra na wanaume ambao hawakuwa na malengo nao. Kama huna bikra hata nikupende vipi hakika siwezi kukuoa
 
none sense
Endelea CHONGO kuita kengeza mkuu,,, jipe moyo mkuu,, kinachoumiza zaidi,,, YOTE unayomfanyia yeye,, kwake sio mapya,, tayari kuna KIDUME KISHAMFUNDISHA muda tu,,, na huwa hawaachani Hata siku moja..... Wakikutana wanakumbushia enzi,,, tena WANAWAKE wanasemaga MWANAUME atayekutoa BIKIRA Hata Kama hajakuoa NDY MUMEO,, wengine wote wapita njia..
 
Kwa jinsi nlivyoona kutoa bikra ilivyo ngumu nampa pole ambaye amemtoa my wife wangu to be hiyo kitu
 
Hii kitu ishakua kama dhahabu kunamshaji wetu dem kamdanganya anayo hiyo kitu so kuitoa hadi ndoa jamaa kaoa siku ya honeymoon kesho yake tunapeleka nguo za kubadilisha tunamkuta nje mapema tu anakwambia kaogelea kwenye kilindi haswa kwa hilo hatomsamehe dem maana alitangazia watu hadi wakaa andaa mashuka meupe
 
Kha! Pole yake
 
Ko whatz wrong kama kamegwa,k imekwisha ladha au,xjawaelewa bado,mm xjaukuta na hakuna shida niliotoa sijaoa hata
 
Mimi nadhani mambo ya kuuliza mwanamke wako alitoka na wanaume wangapi sijui nani kamtoa bikra ni utoto. Kwanza she will never tell you the exact number. Halafu hata kama akikwambia itakusaidia nini? Inabadilisha nini? Wewe piga tu mashine na furahia kuwa naye kwa kipindi utakachokua naye. Kama ni mkeo basi hakikisha unakuwa na misimamo yako maisha yanaendelea. I personally don't care hao waliopita. Mwanamke akiamua kusaliti haijalishi umemtoa bikra au la, ni hulka yake tu.
 
Huyo Dada hakuwa mlokole huyo
 
Upuuzi
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…