Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki kuongelea malaya,Hata Malay.a alikuwa bikra. Unajua hilo?
Ndiyo, lakini point ni kwamba bikra hairelate na mapenzi ya kweli
Endelea CHONGO kuita kengeza mkuu,,, jipe moyo mkuu,, kinachoumiza zaidi,,, YOTE unayomfanyia yeye,, kwake sio mapya,, tayari kuna KIDUME KISHAMFUNDISHA muda tu,,, na huwa hawaachani Hata siku moja..... Wakikutana wanakumbushia enzi,,, tena WANAWAKE wanasemaga MWANAUME atayekutoa BIKIRA Hata Kama hajakuoa NDY MUMEO,, wengine wote wapita njia..none sense
Dini ganiDini yetu inatufundisha kuwa kama umeamua kumuoa mwanamke basi usiulize ya nyuma. Sio ustaarabu kabisa
Kha! Pole yakeHii kitu ishakua kama dhahabu kunamshaji wetu dem kamdanganya anayo hiyo kitu so kuitoa hadi ndoa jamaa kaoa siku ya honeymoon kesho yake tunapeleka nguo za kubadilisha tunamkuta nje mapema tu anakwambia kaogelea kwenye kilindi haswa kwa hilo hatomsamehe dem maana alitangazia watu hadi wakaa andaa mashuka meupe
Ko whatz wrong kama kamegwa,k imekwisha ladha au,xjawaelewa bado,mm xjaukuta na hakuna shida niliotoa sijaoa hataEndelea CHONGO kuita kengeza mkuu,,, jipe moyo mkuu,, kinachoumiza zaidi,,, YOTE unayomfanyia yeye,, kwake sio mapya,, tayari kuna KIDUME KISHAMFUNDISHA muda tu,,, na huwa hawaachani Hata siku moja..... Wakikutana wanakumbushia enzi,,, tena WANAWAKE wanasemaga MWANAUME atayekutoa BIKIRA Hata Kama hajakuoa NDY MUMEO,, wengine wote wapita njia..
Unajuaje???? Kama alitoa mimba atakwambia?Mimi nimeambulia bikra ya kizazi tu...
Duu!! We wa kwako ulimkuta nayo???Nitazidi kusema ukitaka ufaidi raha ya ndoa oa mwenye bikra
Bikra ina maana kubwa sana kwa mwanamke
Huyo Dada hakuwa mlokole huyoDah! Me nilimtoa bikra dem wangu wa zamani alikuwa mlokole na alionyesha kunipenda lakini miezi kadhaa mbeli lilitokea jamaa moja lokole mwenzake likamchumbia na kumtolea mahari. Aisee nilipatwa na fever ya ghafla.
Ndo nikapata dem mmoja Tena alitemwa na mshikaji wake japo alinisumbua akijua na mm tamuumiza Ila nilimpenda aiseee yeye alinipenda zaidi na ni mwaka 3 niko nae maisha murwa kabisa na mahali nimemtolea na nipo kwenye process za ndoa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usitake kujua habari za mambo yaliyopita unaweza kupata Pressure bure we songa mbele.
Hongera zakowangu nilimkuta bikra namuheshimu sana hana makuu kabisa
UpuuziEndeleeni kujipa moyo.. Mwisho wa siku mnafanywa wajinga,,, kuoa MWANAUME asiye bikira ni sawa na KUISHI NA MPENZI WA MTU.... zamani Ilikuwa ni aibu UNAOLEWA kukutwa bila bikira,, na msichana ukimtoa bikira kuoa ni lazima,, lakini leo tunaona ni sawa kuoa mwanamke ambaye si bikira,,, na Ndy wasichana wanashindwa KUJUWA THAMANI YA BIKIRA,,, Kama ingekuwa ukimkuta msichana sio bikira unaweza kumhoji ilikuwaje? Si dhani Kama kungekuwa na utitiri wa BIKIRA LESS MITAANI..
FactKuna demu nilimtoa bikra akiwa katoka kumaliza darasa na saba kaanza form one napiga tu tena alinipenda sana kitendo cha kuingia form two kakutana na majanja yakaanza kupiga na mimba juu kuna muda kumtoa demu bikra sio kigezo cha kupendwa milele unaweza kuwa na demu kapigwa sana na akakupenda kumshinda aliemtoa bikra