Nani alimwambia Rais Samia asikutane na CHADEMA?


Pitia hizo nyuzi zote kwenye mitandao ya kijamii zinazoongea kwa ghadhabu. Hao ni viongozi wa CCM wasioweza ushindani wa kisiasa, wamezoea mbeleko na hawako tayari kwa ushindani maana hawana uwezo wa ushawishi.
 
Mtawasingizia Sukuma Gang mlishaambiwa haipo ni uhuni ulitengeneza na Familia ya Wazuri Hawafi ili kumzubaisha Mama na kumfix mambo mengi lakini Finaly Mama ameshuktuka amechana mkeka
🤣🤣🤣
 

Mmawia na team yake.
 
Umeambulia aibu. Leo utalala na viatu tena
 
Lazima tumtafute tuungane kama Taifa tumlaani, maana tunaamini huyo ndiye amemshauri mambo mengi Rais wetu ya kumpotosha hadi anahangaika kujinasua yeye mwenyewe
Ni kweli lazima ni kakikundi ka watu wabaya. Na ameamua kuwachana laivu na ujumbe umewafikia
 
Hizo ni political divergence remarks, hamna logic, she had a message and platform that was too powerful for her to handle.
 
Nadhani issue ya Mbowe, ilimpa fundisho kubwa Sana.......

Akikumbuka namna walivyomlia timing na kumuingiza King, kuwa Mbowe ni gaidi, basi ameamua kuwazingua hao wasaidizi wake[emoji1]
Mbowe ni gaidi tu,halikwepeki hilo
 
Baada ya marudhiano na muafaka kupatikana, hakuna sababu ya kuendelea kumtafuta mchawi!.
P
 
Kati hao mahafidhina mmojawapo atakuwa ni mwizi Mwigulu
 
Hata wafanye nini lakini watanzania tunamuamini sana Rais Samia Suluhu kwa ukweli na uwazi wake haijawai kutokea kiongozi mkweli kama Rais Samia Suluhu kila hatua anayoipiga katika uongozi wake anaiweka wazi hii ni hatua nzuri ya uongozi
 
Rais Samia Suluhu amedhihirisha kuwa hawezi kuendeshwa na maamuzi ya watu wengine yeye kama kiongozi anamaamuzi yake binafsi watanzania tumefarijika sana kusikia tumekuwa kitu kimoja
 
Pitia hizo nyuzi zote kwenye mitandao ya kijamii zinazoongea kwa ghadhabu. Hao ni viongozi wa CCM wasioweza ushindani wa kisiasa, wamezoea mbeleko na hawako tayari kwa ushindani maana hawana uwezo wa ushawishi.
Sahihi na ukweli mtupu
 
Rais Samia Suluhu amedhihirisha kuwa hawezi kuendeshwa na maamuzi ya watu wengine yeye kama kiongozi anamaamuzi yake binafsi watanzania tumefarijika sana kusikia tumekuwa kitu kimoja
Mwaka umeanza vizuri mno
 
Baada ya marudhiano na muafaka kupatikana, hakuna sababu ya kuendelea kumtafuta mchawi!.
P
Wachawi leo watakimbiana. Bado tume huru ya Uchaguzi. Tume ikiwa huru japo 40% tu ya uhuru wake CCM byebye.

Rais mwenyewe haipendi CCM sema basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…