SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Hiki kizazi ukiwekee disco shule Ndio utakuwa umehalalisha.Ilikuwa ni ushamba wa hali ya juu usome form 1 hadi 4 halafu kusiwe na disco.
Ukikaa kidogo utasikia Azania wamealikwa Zanaki.
Je nani kaondoa madisco mashuleni.
Ngoja wadau waje..Ilikuwa ni ushamba wa hali ya juu usome form 1 hadi 4 halafu kusiwe na disco.
Ukikaa kidogo utasikia Azania wamealikwa Zanaki.
Je nani kaondoa madisco mashuleni.
Nliitomber nikiwa shule ya Msingi Sasa sikuelewiSijawahi kuona umuhimu wa hayo makitu hasa kwa levels za high school kushuka chini
Kama wameyaondoa ni vizuri
Sijawahi kuona umuhimu wa hayo makitu hasa kwa levels za high school kushuka chini
Kama wameyaondoa ni vizuri
Enzi hizo tunafatawa na gari Kwenda disco minaki na pugu watoto wa kati kati ya mjiIlikuwa ni ushamba wa hali ya juu usome form 1 hadi 4 halafu kusiwe na disco.
Ukikaa kidogo utasikia Azania wamealikwa Zanaki.
Je nani kaondoa madisco mashuleni.