Nani aliondoa madisco shuleni?

Nani aliondoa madisco shuleni?

SubiriJibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
1,805
Reaction score
1,876
Ilikuwa ni ushamba wa hali ya juu usome form 1 hadi 4 halafu kusiwe na disco.

Ukikaa kidogo utasikia Azania wamealikwa Zanaki.

Je nani kaondoa madisco mashuleni.
 
Mmmh napita tu...

Mtaani kwenu hawapigi madisco ya singeli?
 
Ilikuwa ni ushamba wa hali ya juu usome form 1 hadi 4 halafu kusiwe na disco.

Ukikaa kidogo utasikia Azania wamealikwa Zanaki.

Je nani kaondoa madisco mashuleni.
Hiki kizazi ukiwekee disco shule Ndio utakuwa umehalalisha.

Tukiwekewa disco tuoshe rungu zetu japo haikutosha, tuliruka Kuta na kuzama kutafuta Malaya...

Nilisikia wanafunz wa pugu sekondari, minaki sekondari Bagamoyo sekondari na kibaha sekondari hizi ni shule zenye boys kwa ukaribu na jiji la dsm hutorika na kwenda buguruni kupata malaya
 
Mwalim Ngowi huyoo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sijawahi kuona umuhimu wa hayo makitu hasa kwa levels za high school kushuka chini

Kama wameyaondoa ni vizuri
 
Sijawahi kuona umuhimu wa hayo makitu hasa kwa levels za high school kushuka chini

Kama wameyaondoa ni vizuri

Umesoma psychology na child growth au unahisi walioweka walizingatia nini ? Tuanzie hapo..
 
Naangalia fiesta kupitia claus Tv kila msanii akiingia ni mikono juu, kulia kushoto, mpaka wamelize wasukuma watakuwa wamevimba mikono kwa kunyoosha juu
 
Ilikuwa ni ushamba wa hali ya juu usome form 1 hadi 4 halafu kusiwe na disco.

Ukikaa kidogo utasikia Azania wamealikwa Zanaki.

Je nani kaondoa madisco mashuleni.
Enzi hizo tunafatawa na gari Kwenda disco minaki na pugu watoto wa kati kati ya mji
Kumbe hazipo nowadays pole yao
 
Back
Top Bottom