Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Naomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.
Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu.
Yule aliesema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, alipambana nacho ila mwisho wa siku aliondoka Magogoni akiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Akaja mwingine mwenye akili sifuri alieamini katika kutumia mabavu na biashara ya kununua wanasiasa akiamini kwa kutumia mbinu hizo ndio ataiua CHADEMA, ila mwisho wa siku kafa yeye kaicha CHADEMA imara kuliko hata chama chake kilichokuwa kinabebwa kwa lila namna.
Sasa kaja mwingine ambae nae hataki kutazama historia na kujiuliza kama wenzake wameshindwa yeye ndio ataweza?
Narudiia, kupambana na CHADEMA sio kupambana na Mbowe,Lissu,Heche au kamanda mwingine yoyote, bali ni kupambana na mwenye Mamlaka Mbinguni na duniani na asiporudi nyuma, nae atakipata anachokitafuta kutoka kwa huyo mwenyewe Mamlaka yote.
Kama ambavyo Mussa aliteuliwa na Mungu kuwaokoa wana wa Israel waliokuwa wanateseka nchini Misri, ndivyo hivyo hivyo kaiteua CHADEMA kupambana na Goliati CCM na hakika huyu Goliati atashindwa hii vita.
Binafsi naamini kilichomuondoa yule dikteta ni mpango wake wa kutamka kummaliza Mwenyekiti ila Mungu akaingiia kati na akamuondoa kama anavyoweza kumuondoa huyu anaejaribu kuiga bila kutafakari kwa kina.
Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama(serikali, watu binafsi, n.k,), wote wameangukia pua.Kama yupo aliewahi ishinda CHADEMA, nitajieni na mimi nimjue.
CHADEMA si NCCR, CUF au vyama vingine, bali hiki chams ni namba nyingine na ndio maana kimeweza kutawla ligi ya vyama vingi kwa miaka mingi mfululizo licha ya waamuzi kutokuwa fair kwani husajili wachezaji wenye viwango na ndio maana timu pinzani huwanunua wakiamini watawasaidia ila mambo hua kinyume chake.
Baada ya kuona CHADEMA ni unbeaten ndani ya uwanja kwa miaka mingi, wakaanza fitina nje ya uwanja, ila nawaambia hata hii mbinu ambayo wamekuwa wakiitumia kwa muda sasa, nayo itashindwa tu.
Hivyo, kwa wakati huu, tusubiri na hatima ya huyu alieamua kupambana na hiki chama tuone atafika wapi.