2015 na 2020Kwani Chadema iliwahi kushinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2015 na 2020Kwani Chadema iliwahi kushinda
Naona gaidi ni rais2015 na 2020
Muulize Samia na marehemu kichaaChadema ina uimara gani kutoka wabunge 100 hadi mmebakiwa na mbunge moja nyie mnachekesha kweli kusema chadema ipo imara
Lugola aliangukia puaNaomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.
Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu.
Yule aliesema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, alipambana nacho ila mwisho wa siku aliondoka Magogoni akiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Akaja mwingine mwenye akili sifuri alieamini katika kutumia mabavu na biashara ya kununua wanasiasa akiamini kwa kutumia mbinu hizo ndio ataiua CHADEMA, ila mwisho wa siku kafa yeye kaicha CHADEMA imara kuliko hata chama chake kilichokuwa kinabebwa kwa lila namna.
Sasa kama mwingine nae hataki kutazama historia na kujiuliza kama wenzake wameshindwa yeye ndio ataweza?
Narudiia, kupambana na CHADEMA sio kupambana na Mbowe,Lissu,Heche au kamanda mwingine yoyote bali ni kupambana na mwenye Mamlaka Mbinguni na duniani na asiporudi nyuma, nae atakipata anachokitafuta kutoka kwa huyo mwenyewe Mamlaka yote.
Kama ambavyo Mussa aliteuliwa na Mungu kuwaokoa wana wa Israel waliokuwa wanateseka nchini Misri, ndivyo hivyo hivyo kaiteua CHADEMA kupambana na Goliati CCM na hakika huyu Goliati atashindwa hii vita.
Binafsi naamini kilichomuondoa yule dikteta ni mpango wake wa kutamka kummaliza Mwenyekiti ila Mungu akaingiia kati na akamuondoa kama anavyoweza kumuondoa huyu anaejaribu kuiga bila kutafakari kwa kina.
Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama wote wameangukia pua.
Tusubiri na hatima ya huyu wa sasa.
Jasusi uchwara upo?Lijuakali. Mashinji. Mwambe. Waitara. Halima Mdee na kundi lake,nk,nk. Yamewakuta nini?
ushindi vitani ni kuhakikisha unabaki hai. Ukifa umefeli. Jiwe kafeli vibayaUshindi ni ushindi blaza mwisho wa siku anaekuongoza anajulikana. .....nani alikwambia kipande cha karatasi kinakupa madaraka ,bora hao wa polisi wamejua njia ya kufikia wanapopataka
Ila chadema ina nguvu sana inapambana na CCM, tissss, polisi, mahakama hadi magereza na bado ipoLijuakali. Mashinji. Mwambe. Waitara. Halima Mdee na kundi lake,nk,nk. Yamewakuta nini?
wamepukutika sana huu mwaka 2021 umekuwa wa baragumu la mapigoMwenyezi Mungu alivyo fundi anatembea na kila anaejionesha yupo upande wa sukuma gang mpaka waishe
Huyu tutapata jibu lake kabla ya 17.03.2022, wait and seeNaomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.
Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu.
Yule aliesema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, alipambana nacho ila mwisho wa siku aliondoka Magogoni akiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Akaja mwingine mwenye akili sifuri alieamini katika kutumia mabavu na biashara ya kununua wanasiasa akiamini kwa kutumia mbinu hizo ndio ataiua CHADEMA, ila mwisho wa siku kafa yeye kaicha CHADEMA imara kuliko hata chama chake kilichokuwa kinabebwa kwa lila namna.
Sasa kama mwingine nae hataki kutazama historia na kujiuliza kama wenzake wameshindwa yeye ndio ataweza?
Narudiia, kupambana na CHADEMA sio kupambana na Mbowe,Lissu,Heche au kamanda mwingine yoyote bali ni kupambana na mwenye Mamlaka Mbinguni na duniani na asiporudi nyuma, nae atakipata anachokitafuta kutoka kwa huyo mwenyewe Mamlaka yote.
Kama ambavyo Mussa aliteuliwa na Mungu kuwaokoa wana wa Israel waliokuwa wanateseka nchini Misri, ndivyo hivyo hivyo kaiteua CHADEMA kupambana na Goliati CCM na hakika huyu Goliati atashindwa hii vita.
Binafsi naamini kilichomuondoa yule dikteta ni mpango wake wa kutamka kummaliza Mwenyekiti ila Mungu akaingiia kati na akamuondoa kama anavyoweza kumuondoa huyu anaejaribu kuiga bila kutafakari kwa kina.
Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama wote wameangukia pua.
Tusubiri na hatima ya huyu wa sasa.
ishu ni CCM bado ipo palepale hadi mmekubali mama anaupiga mwingi.......huku sio saccos ya mtu mmoja maana mnaona gaidi akipotea na saccos imekufa tofauti sana na CCM kimetoka chuma kimekuja chuma.......kwako mwalimu Kashashaushindi vitani ni kuhakikisha unabaki hai. Ukifa umefeli. Jiwe kafeli vibaya
kwa hiyo jiwe mmemula kichwa?ishu ni CCM bado ipo palepale hadi mmekubali mama anaupiga mwingi.......huku sio saccos ya mtu mmoja maana mnaona gaidi akipotea na saccos imekufa tofauti sana na CCM kimetoka chuma kimekuja chuma.......kwako mwalimu Kashasha
Pasipo kuombewa kuugua pole na yeyote isipokuwa wote watanena "RIP".Kila atakayeihujumu Chadema lazima yamkute mabaya ikiwa ni pamoja na kifo cha mateso
unapaswa ujue kuwa Vyombo vya ulinzi na usalama vina pambana na vitaendelea kupambana na vitendo vyote vya Uvunjifu wa Amani na Usalama wa Taifa letu.Naomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.
Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu.
Yule aliesema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, alipambana nacho ila mwisho wa siku aliondoka Magogoni akiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Akaja mwingine mwenye akili sifuri alieamini katika kutumia mabavu na biashara ya kununua wanasiasa akiamini kwa kutumia mbinu hizo ndio ataiua CHADEMA, ila mwisho wa siku kafa yeye kaicha CHADEMA imara kuliko hata chama chake kilichokuwa kinabebwa kwa lila namna.
Sasa kama mwingine nae hataki kutazama historia na kujiuliza kama wenzake wameshindwa yeye ndio ataweza?
Narudiia, kupambana na CHADEMA sio kupambana na Mbowe,Lissu,Heche au kamanda mwingine yoyote bali ni kupambana na mwenye Mamlaka Mbinguni na duniani na asiporudi nyuma, nae atakipata anachokitafuta kutoka kwa huyo mwenyewe Mamlaka yote.
Kama ambavyo Mussa aliteuliwa na Mungu kuwaokoa wana wa Israel waliokuwa wanateseka nchini Misri, ndivyo hivyo hivyo kaiteua CHADEMA kupambana na Goliati CCM na hakika huyu Goliati atashindwa hii vita.
Binafsi naamini kilichomuondoa yule dikteta ni mpango wake wa kutamka kummaliza Mwenyekiti ila Mungu akaingiia kati na akamuondoa kama anavyoweza kumuondoa huyu anaejaribu kuiga bila kutafakari kwa kina.
Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama wote wameangukia pua.
Tusubiri na hatima ya huyu wa sasa.
Hivyo vyombo viko kulinda kwanza masilahi ya CCM na sio Taifa hili.unapaswa ujue kuwa Vyombo vya ulinzi na usalama vina pambana na vitaendelea kupambana na vitendo vyote vya Uvunjifu wa Amani na Usalama wa Taifa letu.
kamwe! hatovumilwa mtu yeyote yule atakaye jaribu kupanga, kufanikisha au kutenda vitendo vya uvunjifu wa Amani na Usalama wa nchi yetu.
Amani na Usalama wa nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko chadema.