Nani alipambana na CHADEMA akashinda? Huyu nae akiendelea, hafiki mbali na anaeweza kwenda na kuiacha CHADEMA iko imara

Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama wote wameangukia pua.
[emoji1534][emoji1548][emoji736][emoji817][emoji1534][emoji1548][emoji736][emoji817][emoji1534][emoji1548][emoji736][emoji817]
 
Ndio unavyojifariji mkuu,muda ni mwalimu
 
Mwanzo mlikenua meno na kupiga ndelemo,mlizani mama ni chadema Basi atakuwa na akili za kitahira Kama zenu.tulieni hivyo hivyo mama anaupiga mwingi kweli.alipowqmbia yyna jpm ni kitu ki 1.hamkumuelewa sio .
 
Watashondana na chadema lkn hawatashinda
 
Wew ni mpumbavu utaamsha na miale ya jioni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Chama hakijawai na hakina dalili ya kushika hatamu kinadai hakijawahi shindwa
 
Chadema ina uimara gani kutoka wabunge 100 hadi mmebakiwa na mbunge moja nyie mnachekesha kweli kusema chadema ipo imara
Kuwa na wabunge Wengi waliopitishwa na marehemu hawakubaliki majimboni,manung'uniko ni mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…