Nimecheka sana.... Itakuwa wewe ndo ulietuponza mpk leo tunakula Chapati 2 ... mbili🤣🤣🤣🤣🤣
Pia ukila chapati 1 hushibi, na 3 humalizi.
Ni mwendo wa 2 tu…
Tule Mara 3 kwani sisi wanawakeTangu Utoto mpaka sasa ni Mtu mzima Kutwa mara Tatu Hii ilianzia wapi,Nani alianzisha Je nikila mara 2 au 1 kwa Siku au nikiamua kula mara 5 kuna madhara bila kukariri Chakula ni wali au Ugali n.k...Na ni Wazungu walituletea hii itakuwa ni Kututia Umaskini tu na Maradhi mbona wao hawakuli kama Hivi.
Siku hizi unakula mpaka chapati 3 amna kitu, mpaka ule nne ndio utosheke. Chapati mbili ziwe za zamani ndiyo unashiba.🤣🤣🤣🤣🤣
Pia ukila chapati 1 hushibi, na 3 humalizi.
Ni mwendo wa 2 tu…
Huko kwenu chapati sh ngapi? Huku ni jeroSiku hizi unakula mpaka chapati 3 amna kitu, mpaka ule nne ndio utosheke. Chapati mbili ziwe za zamani ndiyo unashiba.
Hahahaaa... Mkuu. Nimecheka kinoma. Maana Uko sahihi mnoo! Kweli kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pia ukila chapati 1 hushibi, na 3 humalizi.
Ni mwendo wa 2 tu…
hamna raha coz kuna vitu tunapigwa sanaWouh mna raha sana aisee
Kama ni jero hizo uhakika lakini ukikutana na chapati ya 250 au 300 hapo hushibi kabisa.Huko kwenu chapati sh ngapi? Huku ni jero
3 simalizi…
ukigawanya unapata Milo 6Tunakula mara 3 kwa sababu tukiamka asubuhi tunakua na njaa hivyo hulazimika kula na ikifika mchana hupata njaa tena hivyo hulazimika na usiku vivyo hivyo.
Kitaalam vyakula vingi hukaa tumboni masaa matatu hadi manne ayah gawanya kwa siku nzima unapata milo mingapi?
Kiufupi we tafuta hela chakula hakijawahi kuwa sababu ya umaskini if you know you know.