Nani alisema ukuta wa mabanzi ni sawa na Ukuta wa Yeriko? Mechi 7 goli 7 kunyavu! Clean sheet inatafutwa kwa tochi!

Nani alisema ukuta wa mabanzi ni sawa na Ukuta wa Yeriko? Mechi 7 goli 7 kunyavu! Clean sheet inatafutwa kwa tochi!

Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!

Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo kibao!

Uwezi kubebwa ubingwa kwa kuwa na beki zinazoruhusu makosa Kila mechi ni ngumu sana!

Tukutane trh 5 majibu yatapatikana!
WANATAMANI KUSEMA IHEFU NI MBOVU ILA WAKIKUMBUKA KUWA WALITOA BIKRA VICHAKANI WANABAKI KUWASHWA MATAKO TU[emoji1]
 
Kwa tuliiona biblia ukuta wa Yeriko uliangushwa na matarumbeta ya Yoshua
 
Back
Top Bottom